Facebook
Facebook
You must log in first.
:forum-110833362/smallform/0:
Need a Facebook account?
Help Center
English (US) · বাংলা · हिन्दी · More…
Facebook ©2012

Tuesday, May 7, 2013

VAZI LAMUUMBUA MKENYA....MATITI YOTE NJE



Mrembo wa kikenya amejikuta akiambulia aibu ya mwaka baada ya kivazi chake kumuumbua na kuyaanika matiti hadharani......

Aibu hiyo ilimkuta ukumbini baada ya kunyoosha mkono wake ili naye ashangilie kama walivyokuwa wanafanya wenzake ambao walikuwa wamevaa kiheshima...


Baada ya kuutupa mkono hewani, gauni lake ambalo ni "kata kifua" lilishuka na kuianika chuchu hadharani...

Hili ni fundisho tosha kwa baadhi ya dada zetu wanaoukimbilia UZUNGU pasipo kujipanga

0 comments:

Post a Comment