Facebook
Facebook
You must log in first.
:forum-110833362/smallform/0:
Need a Facebook account?
Help Center
English (US) · বাংলা · हिन्दी · More…
Facebook ©2012

Thursday, May 9, 2013

Baada ya Kufukuzwa Kwenye Kipindi EATV kwa Kuvaa Ndala sasa Juma Nature Anzisha Biashara ya Kuuza Ndala


Suala la mtangazaji wa EATV Sam Misago kumtoa nje ya studio Juma Nature kutokana na kuvaa ndala, limemsaidia kiongozi huyo wa Wanaume Halisi kuanzisha biashara mpya, ya ndala

 Akiongea na XXL ya Clouds FM, Nature amesema tayari ameshasaini mkataba na kampuni moja kuanza kuuza ndali hizo ziitwazo Halisi na wiki ijayo zinaweza kuingia mtaani.

0 comments:

Post a Comment