Facebook
Facebook
You must log in first.
:forum-110833362/smallform/0:
Need a Facebook account?
Help Center
English (US) · বাংলা · हिन्दी · More…
Facebook ©2012

Friday, May 17, 2013

Baada ya kutoka Jela, Ja Rule atupia picha yake Instagram.Mcheki alivyochange...

JAH RULE AMETOKA JELA NA MVUTO WA HATARI, MCHEKI HAPA


Rapper Jah rule ametupia picha yake kupitia mtandao wa instagram ikimuanyesha akiwa na mwili wa mazeoze tofauti na alivyoingia jela. inaonekana alikua akipiga chuma wakati akitumikia miaka yake miwili aliyokuwa amefungwa kwa kosa la kumiliki silaha kinyume na sheria na tax evasion

0 comments:

Post a Comment