Facebook
Facebook
You must log in first.
:forum-110833362/smallform/0:
Need a Facebook account?
Help Center
English (US) · বাংলা · हिन्दी · More…
Facebook ©2012

Tuesday, May 14, 2013

FCBarcelona wakifurahia ushindi wao wa Ligi kwa kulipitisha kombe mitaa mbalimbali ya jiji la Barcelona

Baada ya Barcelona kutawazwa rasmi kuwa mabingwa wa ligi kuu ya nchini Hispania msimu wa 2012/2013 leo ilikuwa siku ya kipekee nchini Hispania,siku ya full shangwe kila mtu akisahau machungu ya kutolewa kwa aibu na FC Bayern Munich wacatalans walitoka barabarani kushuhudia kombe lao likizungushwa mitaa ya jiji la Barcelona yaani walifanya Street Parade.Cheki picha hapa...








0 comments:

Post a Comment