Facebook
Facebook
You must log in first.
:forum-110833362/smallform/0:
Need a Facebook account?
Help Center
English (US) · বাংলা · हिन्दी · More…
Facebook ©2012

Tuesday, May 14, 2013

Ugonjwa wa ajabu waibuka shule ya secondary Manzese,wanafunzi waanguka ovyo na kuongea maneno yasiyoeleweka

Wanafunzi wa shule ya secondary manzese zaidi ya 30 muda huu wanaanguka hovyo na kusema a maneno yasiyoeleweka kutokana na kinachohisiwa kuna nguvu za Giza zimetanda shuleni hapo huku wakijibamiza kwenye miti:


Mmoja wa wanafunzi wa shule ya Sekondari Manzese aliyeanguka na kuweweseka.
Mpaka sasa haijafahamika chanzo cha wanafunzi wa shule hiyo kukimbia ovyo,kuanguka na kuweweseka. Wadau wa mambo ya giza wanadai ni NGUVU ZA KICHAWI


Picha/Habari Zainab Chondo -ITV

0 comments:

Post a Comment