Facebook
Facebook
You must log in first.
:forum-110833362/smallform/0:
Need a Facebook account?
Help Center
English (US) · বাংলা · हिन्दी · More…
Facebook ©2012

Thursday, May 9, 2013

Ujenzi wa wa vituo vya mabasi yaendayo kwa kasi umeanza


 Vitavyokuwa vituo vya mabasi yaendayo haraka jijini Dar es salaam vimeanza kumea katika barabara ya Morogoro road. Juu ni Mwembechai na chini ni Magomeni Usalama. Kasi ya ujenzi wa barabara hiyo imeendelea katika muda wote huu toka ianze mwishoni mwa mwaka jana
                    
Credits-Michuzi blogspot

0 comments:

Post a Comment