Facebook
Facebook
You must log in first.
:forum-110833362/smallform/0:
Need a Facebook account?
Help Center
English (US) · বাংলা · हिन्दी · More…
Facebook ©2012

Tuesday, April 9, 2013

Uhuru Kenyata aapishwa,Odinga asusa aenda kula bata South Africa


 Wako Afrika Kusini wanakula bata ....ni Raila Odinga na wenzake wawili akiwemo Kalonzo Musyoka.
Taarifa kuhusu kina Odinga na wagombea wenza kwenda Afrika Kusini zimetokea @FORA_2013 page ya Organisation inayomsupport Odinga aliekua mgombea Urais kwenye Uchaguzi wa Kenya ambao Uhuru Kenyatta ndio katangazwa mshindi na anaapishwa leo.

Inadaiwa Raila Odinga na wagombea wenza wameamua kukwepa kuwepo kwenye kuapishwa kwa Rais Uhuru Kenyatta na kuamua kwenda Afrika Kusini .

0 comments:

Post a Comment