Basi kama ushawahi kuiona au kuhisikia basi hii ndio Tshirt ya gharama ya Juu kuliko zote duniani , Ni French Brand ya Hermes, ambayo imetengenezwa kwa ngozi ya mamba! Tshirt hii ina thamani ya dola $90,000. Inayoonekana tu hapo juu inathamani ya dola $91,500 kwenye Hermes Boutique Duniani kote.
Saturday, April 6, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment