Facebook
Facebook
You must log in first.
:forum-110833362/smallform/0:
Need a Facebook account?
Help Center
English (US) · বাংলা · हिन्दी · More…
Facebook ©2012

Saturday, April 6, 2013

Picture za gorofa lililoporomoka juzi nchini India

.
Mumbai.
Tukio limetokea Mumbai India ambapo mpaka jana jioni idadi ya waliofariki ilikua 35, walijeruhiwa walikua 50 na 20 walikua hawajaonekana baada ya jengo hili kuporomoka saa kumi na mbili alfajiri kutokana na kile kilichotajwa na Polisi kwamba ni kujengwa chini ya kiwango.
Ni jengo ambalo lilikua linaendelea kujengwa juu lakini gorofa zake nne zilikua tayari zimemalizika ambapo mafundi waliokua wanaendelea na ujenzi ndio wametajwa kuwa kwenye idadi kubwa ya waliofariki huku idadi ya watoto waliofariki wakiwa kwenye eneo hilo ikiwa ni 11.
Polisi bado wanaendelea kuwatafuta wamiliki wa jengo hilo ambalo lilikua likijengwa chini ya kiwango ambapo pia imefahamika walicheza magumashi kwa sababu hawana vibali vinavyotakiwa kwenye ujenzi wa gorofa kama hilo.
.
.
.
.
..
..
.
.

0 comments:

Post a Comment