Baada ya wiki kadhaa za ukosoaji na
maandamano, kampuni ya Reebok imesitisha kufanya kazi na Rick Ross
kutokana na mashairi yake yenye kashfa ya kusifia vitendo vya ubakaji.
Wimbo wa Rick Ross unaodaiwa kuwa na mashairi ya kupromote ubakaji unaitwa “U.O.E.N.O.”
Katika maelezo iliyoutumia mtandao wa TMZ, Reebok imesema:
“Reebok holds our partners to a high
standard, and we expect them to live up to the values of our brand.
Unfortunately, Rick Ross has failed to do so.
While we do not believe that Rick
Ross condones sexual assault, we are very disappointed he has yet to
display an understanding of the seriousness of this issue or an
appropriate level of remorse.”
Kwenye “U.O.E.N.O,” Ross anarap: “Put
molly all in her champagne, she ain’t even know it. I took her home and
I enjoyed that, she ain’t even know it.”
Mapema mwezi huu Ross aliomba radhi
ya juu juu kutokana na mashairi yake kwa kutweet: “I dont condone rape.
Apologies for the #lyric interpreted as rape. #BOSS”
Baada ya masaa mawili alijaribu
kuomba msamaha tena: “Apologies to my many business partners, who would
never promote violence against women. @ReebokClassics @ultraviolet”
0 comments:
Post a Comment