Facebook
Facebook
You must log in first.
:forum-110833362/smallform/0:
Need a Facebook account?
Help Center
English (US) · বাংলা · हिन्दी · More…
Facebook ©2012

Saturday, April 13, 2013

Star Times wapandisha bei za vifurushi vyao.


Ikiwa ni miezi minne tu imepita toka tulipoingia rasmi kwenye mfumo dijitali (digital system) kwa vituo vya televisheni.. Startimes wamepandisha gharama ya vifurushi.. 

Kile kilichokuwa kinauzwa Tshs. 9,000 sasa kitauzwa Tshs. 10,000.. 

Kile cha Tshs. 18,000 sasa kitakuwa Tshs. 20,000.. Kile cha Tshs. 36,000 sasa kitakuwa ni Tshs. 40,000.. Itaanza rasmi tarehe 15 April..

TCRA waliahidi mambo mengi mazuri kwenye mfumo dijitali..Ahadi yao imegeuka na kuwa ndoto.....


Vifurushi vinapanda huku huduma ikiwa ni mbovu hasa kwa hawa Startimes ambao kila saa picha zinakwama mpaka kusababisha kero na malalamiko toka kwa wananchi.

credit- MPEKUZI BLOG

0 comments:

Post a Comment