Facebook
Facebook
You must log in first.
:forum-110833362/smallform/0:
Need a Facebook account?
Help Center
English (US) · বাংলা · हिन्दी · More…
Facebook ©2012

Sunday, April 21, 2013

Nyumba pekee aliyokuwa akiimiliki Bi Kidude

.
Mjukuu Bibi Kidude aitwae Fatma aliongea na millardayo.com na kusema mpaka Bibi anafariki, hakukua na maelewano mazuri kwenye familia yake kutokana na uamuzi wa kuamua kuipangisha nyumba yote kikiwemo chumba cha kulala bila kumshirikisha yeye Bi Kidude hivyo yeye akawa hana pa kufikia isipokua kwa mtoto wake, hakuwa na mamlaka na nyumba yake tena.
.
Bi Kidude hakuwahi kuwa na nyumba nyingine zaidi ya hii, alikua hana biashara yoyote nyingine na wala hakuwa na gari.
.
Kwa upande wa mbele haijamalizika, ndio inaonekana hivi.
.
.                                                             
                                                       CREDITS;millard Ayo

0 comments:

Post a Comment