Facebook
Facebook
You must log in first.
:forum-110833362/smallform/0:
Need a Facebook account?
Help Center
English (US) · বাংলা · हिन्दी · More…
Facebook ©2012

Friday, July 5, 2013

PICHA CHAFU ZA MISS UNIZIK ZASAMBAA MITANDAONI....




Huyu  ni  denti  wa  chuo  kikuu  cha  UNIZIK  kilichoko Nigeria  ambaye  pia  ni miss  UNIZIK 2013/2014....

Mrembo  huyu  amekutana  na  balaa  hili  baada  ya  mpenzi  wake  kuzisambaza  picha  zake  za  utupu....

Taarifa  toka  chuoni  hapo  zinadai  kuwa,  wapenzi  hao  walizunguana  siku  kadhaa   baada  ya  mrembo  huyo  kulinyakua  taji  hilo  la  Umiss.....

Dharau  na  nyodo  zinadaiwa  kuwa  chanzo  cha  ugomvi  wao  uliomfanya  boyfriend  wake  alipe  kisasi  kwa  kumuanika  mtandaoni....

0 comments:

Post a Comment