Facebook
Facebook
You must log in first.
:forum-110833362/smallform/0:
Need a Facebook account?
Help Center
English (US) · বাংলা · हिन्दी · More…
Facebook ©2012

Monday, July 1, 2013

Brazil waisambaratisha Spain,watawazwa mabingwa wa Kombe la mabara.

Timu ya Taifa ya Brazil usiku wa saa 8 kuelekea sas 9 kwa saa za Afrika Mashariki waliweza kuwafunga Mabingwa wa Dunia na Mabigwa wa Ulaya timu ya Taifa ya Spain jumla ya Magoli 3-0 katika mchezo wa fainali ya kombe la Mabara na hivyo kuitimisha rekodi ya Spain ya kutofungwa mara 29 katika michezo ya ushindani.

 

Waliopeleka kilio cha Magoli kunako timu ya Spain walikuwa ni Fred aliefunga Magoli mawili huku lingine likitiwa nyavuni na Mchezaji anaekuja juu kwa sasa Neymar.

  
VIDEO YA MAGOLI NA HIGHLIGHTS ZA MATCH YA JANA; Click hapa

0 comments:

Post a Comment