Tukio hili limetokea huko Nigeria ambapo binti anayesemekana ni wa mwaka
wa kwanza alikwenda kutembea katika hostel za wenzake na alipopata
mwanya akaiba simu aina ya Black Berry.
Hata hivyo baada ya mwenye simu kushtuka binti huyo aligoma kuichukua simu hiyo na
ndipo watu
walipoamua kuipiga na kuanza kuita ikiwa sehemu za siri. Baada ya tukio
hilo wavulana kutoka vyumba vya pembeni walikuja na kumsachi huku
wakimvua nguo, hakuwa na la ziada zaidi ya kuwa mpole wakati watu
wakimpiga picha hizo za aibu.
0 comments:
Post a Comment