Facebook
Facebook
You must log in first.
:forum-110833362/smallform/0:
Need a Facebook account?
Help Center
English (US) · বাংলা · हिन्दी · More…
Facebook ©2012

Thursday, July 18, 2013

Nisaidieni,Mme wangu ana jinsia mbili ya kike na ya kiume

Habari; nilipokea simu kutoka kwa shemeji yngu yani mke wa rafik angu ambae tangu aolewe ni miezi miwili imepita,alinitaka niende nyumbani kwake haraka kuna jambo muhimu linalogusa ndoa yake anataka kunieleza na nijue namna gani tutasaidiana kuliweka sawa.

nilishtuka sana lakin nikakomaa kibishi,naam nilipofika nyumbani kwake akupoteza mda akanipa mkasa mzima kua mumewe ana jinsia 2 ya kike na ya kiume (duuuuuh!!!) lakin ya kiume ndo iko active kiasi kuliko ya ile ya kike hvyo nimsaidie kwa njia yoyote ile hata kama inawezekana kufanya operation kwa gharama zozote zile mradi tu amkomboe mumewe kwan anampenda sna.

aliamua kuniambia mim sababu ndie nilie karibu sna na mumewe na hata hvyo mumewe ndie aliemuelekeza afanye hvyo,licha ya urafik pia mi ndo nilikua mshenga wake.

inasemekana tangu enzi za ujana wake hyo jamaa hakuna aliejua siri hii zaid ya wazaz wke{r.i.p} na hakuwa kabsa akijihusisha na wanawake mpaka alipoamua kuoa. naomben ushaur jins gan naweza msaidia rafik yngu na mkewe dharau weken kando.

0 comments:

Post a Comment