Facebook
Facebook
You must log in first.
:forum-110833362/smallform/0:
Need a Facebook account?
Help Center
English (US) · বাংলা · हिन्दी · More…
Facebook ©2012

Thursday, June 13, 2013

R.I.P Langa,soma hapa kilichosemwa na madaktari wa Muhimbili kuhusiana na kifo chake

Aminiel Aligaesha ambae ni Afisa Uhusiano
wa hospitali ya Taifa Muhimbili
amethibitisha kwamba msanii Langa
amefariki dunia June 13 2013 saa kumi na
moja jioni baada ya kufikishwa hospitalini
hapo toka juzi jioni ambapo kutokana na
sababu za kimaadili kwenye tiba, Muhimbili
hospitali hawawezi kusema rapper huyu
alikua anaumwa nini bali ndugu ndio wenye
mamlaka ya kufanya hivyo.
Kwenye maelezo aliyoyatoa kwa
millardayo.com Aminiel amesema Marehemu
Langa alipokelewa kwenye idara ya
wagonjwa wa magonjwa ya dharura usiku
wa kuamkia jana na kupatiwa huduma
ambapo leo June 13 2013 ndio alihamishiwa
kwenye chumba cha wagonjwa Mahututi na
baadae kufariki dunia.

0 comments:

Post a Comment