Facebook
Facebook
You must log in first.
:forum-110833362/smallform/0:
Need a Facebook account?
Help Center
English (US) · বাংলা · हिन्दी · More…
Facebook ©2012

Thursday, June 6, 2013

M2 THE P amuaga Ngwair

M2 THE P amefanikiwa kutoa salamu zake za
mwisho kwa rafiki yake kipenzi ambaye
alikuwa naye huko Afrika kusini tena walikuwa
ndani ya chumba kimoja kabla ya mauti
kumkuta Ngwea....!!
Mwanzoni, M 2 THE P alikuwa amefichwa na
kudanganywa kuwa Ngwea alikuwa
ametangulia Tanzania. Baadaye Maggie Hanlon
alilazimika kumweleza ukweli....

0 comments:

Post a Comment