Facebook
Facebook
You must log in first.
:forum-110833362/smallform/0:
Need a Facebook account?
Help Center
English (US) · বাংলা · हिन्दी · More…
Facebook ©2012

Tuesday, June 11, 2013

Justin Bieber atimuliwa club kisa umri mdogo

Justin Bieber mwenye miaka 19 aliweka
picha ya kivazi cha ndani cha wanawake
kwenye mtandao wa kijamii wa
instagram.Brazia hiyo ya rangi ya pink
ilirushwa na mmoja wa mashabiki wake juzi
jumapili (tarehe 9) alipokuwa kwenye shoo
ya Believe.
Beiber aliweka picha hiyo na maelezo yake
“I guess everyone grows up” akimaanisha
nahisi kuwa kila mtua anakua.Wakati
mashabiki wake wamekua, gazeti la The Sun
limeripoti kuwa msanii huyo alibadilika
rangi ya uso alipotimuliwa kwenye klabu ya
kujirusha na maarufu sana Los Angeles,
Marekani iitwayo Lure's Toxic aLuau Beach
Partyilipofika saa moja jioni kisa umri
mdogo.
Gazeti hilo lilidai Bieber aligundulika baada
ya rapa maarufu The Game kumgundua,
ambapo chanzo kimoja kilieleza kuwa
‘mmoja katika kundi la Justin alitokea
mapema na kudai kuwa Justin angekuja
baadae’
‘wenye klabu wakasema hawatomruhusu
kwasababu hana miaka 21. Lakini Bieber
alikuja na kujaribu kuingilia mlango wa
nyuma’ kilieleza chanzo hicho na kuripotiwa
kwenye gazeti la The Sun.
Chanzo hicho kiliendelea ‘The Game alikuwa
kwenye mic na ndipo alimuona Bieber
akijaribu kuingia na kusema kwa nguvu
Bieber anaingia ndani’
‘ndipo walinzi walipomuona na kumsindikiza
nje mara moja. Akaondoka maramoja huku
akijiskia vibaya’

0 comments:

Post a Comment