Facebook
Facebook
You must log in first.
:forum-110833362/smallform/0:
Need a Facebook account?
Help Center
English (US) · বাংলা · हिन्दी · More…
Facebook ©2012

Tuesday, August 27, 2013

Zimevujaa;Kuwa wa kwanza kuzicheki simu mpya kutoka Apple nazo ni iPhone 5s na iPhone 5c

Kampuni ya Apple ina kawaida ya kuitisha mikutano kila mwaka na kila mara wanapoitisha mikutano lazima watangaze kutoa device mpya au vifaa vipya.Apple ambao kwa sasahivi wanakimbiza soko na smartphones zao za iPhone 5 wameitisha mkutano  tarehe 10 September 2013 na kwenye mitandao imezuka mijadala mbalimbali ya watu wakijaribu kudadisi aina gani ya simu mpya ambayo Apple wataitoa.Na hizi ni baadhi ya picha zilizovuja kutoka viwandani vya Apple zinazoonesha simu mpya mbili aina ya 5s na 5c ambazo inasemekana Apple watazitambulisha sokoni hivi karibuni.


iPhone 5S(Topintz.blogspot.com)iphone-5s-5c-leak-4
 

iphone-5s
Hizo juu ni iPhone 5s

Picha hizi inasemekana zimeleak kutoka kiwanda kimojawapo cha Apple.Na iPhone 5c ni hii hapa chini inasemekana yenyewe itakuwa ni plastic zaidi...


iphone-5c-packaging2-ogrady
Apple's low-cost, plastic iPhone 5C colors - Jason O'Grady5C-back-cover+side-keys-ori-new-02
 Hizo hapo juu ni 5c ambazo zinasemekana zitauzwa bei ndogo sana na kila mtu ataweza kuafford.

iphone-5s-5c-leak-2
            iPHONE 5s na iPhone 5c zikiwa kiwandani.      

0 comments:

Post a Comment