Mjukuu
Bibi Kidude aitwae Fatma aliongea na millardayo.com na kusema mpaka
Bibi anafariki, hakukua na maelewano mazuri kwenye familia yake kutokana
na uamuzi wa kuamua kuipangisha nyumba yote kikiwemo chumba cha kulala
bila kumshirikisha yeye Bi Kidude hivyo yeye akawa hana pa kufikia
isipokua kwa mtoto wake, hakuwa na mamlaka na nyumba yake tena.
0 comments:
Post a Comment