Facebook
Facebook
You must log in first.
:forum-110833362/smallform/0:
Need a Facebook account?
Help Center
English (US) · বাংলা · हिन्दी · More…
Facebook ©2012

Tuesday, May 7, 2013

HATIMAYE BALOZI WA VATICAN ALIYENUSURIKA KATIKA SHAMBULIZI LA BOMU ARUHUSIWA KUONDOKA ARUSHA


Ilikuwa ni dakika za majonzi na masikitiko kwa kundi lote lililokuwa limemsindikiza uwanja wa ndege Balozi wa Papa ambaye ameondoka leo mjini Arusha kuelekea Dar, baada ya kunusurika katika shambulio la bomu lililorushwa wakati akiwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa kanisa la Mt. Joseph Mfanyakazi huko Olasiti Arusha.

Mwakilishi wa Papa akiwa na Askofu Lebulu akitoka kwenye VIP ya Arusha Airport kuelekea kwenye ndege ya Precision .

Hapa akisaidiwa na wafanyakazi wa Precision kukamilisha dokomenti zake za Usafiri, huku ulinzi ukiwa umeimarishwa 

Kwaheri Mtumishi wa Mungu, tunaomba uje tena tutakapoamua kuzindua upya Parokia Yetu ya Yosefu Mfanyakazi- Olasiti Arusha.


Safari yako na iwe njema, Malaika wa mbinguni wakuongoze!



Hapa anaagana na watumishi wa Mungu na kundi lote lililomsindikiza.



Jamiiforum

ADAM NDITI ASEMA YEYE SIO HATER, BUT ASEMA NI KWELI SHOW YA DIAMOND ILIBOA


Mchezaji wa klabu ya Chelsea ya nchini Uingereza, Adam Nditi amesema watu wasimwone kama ni hater baada ya kukosoa show ya Diamond nchini humo. 
Adam Nditi of Chelsea

Kupitia Twitter, jana Adam alisema show ya Diamond ilikuwa mbovu na ya kutia aibu.
“Kwa wale wanaoniita hater kwa sababu ya tweet zangu kuhusu shoo ya Diamond juzi mimi namkubali sana Diamond na ni mshabiki wake mkubwa,” ametweet.
“Nazipenda nyimbo zake zote nazisikiliza  kila siku ila juzi nilikuwa disappointed kwa sababu nilikuwa na matumaini makubwa ya shoo, ila ilikuwa haiko kwenye standard ambayo nilitegemea mmoja wa wasanii wakubwa wa Bongo kufanya.”
“Sasa jamani nadhani tunaelewana ukiniona hater endelea kuniita hater kama kuna kitu sikipendi ntasema sinyamazi,” amesisitiza mchezaji huyo mtanzania aliyechukua uraia wa Uingereza.

Monday, May 6, 2013

ABIRIA 162 WANUSURIKA KUFA BAADA YA INJINI YA NDEGE YALIPUKA NA KUWAKA MOTO, SOMA HABARI HAPA

ndege[1]Injini ya ndege hiyo ikiwaka moto kama ilivyonaswa pichani.
Abiria walijawa na hofu kubwa ya maisha yao baada ya injini ya ndege kulipuka moto ikiwa maelfu ya futi juu ya usawa wa bahari.

Dakika kadhaa baada ya kuruka kutoka uwanja wa ndege mjini Helsinki
ikiwa na abiria 168 ndani yake, injini ililipuka na kuwaka moto.
Ndege hiyo kutoka Ujerumani aina ya Airbus ilipata matatizo kadhaa ya kiufundi kabla ya kushika moto kutoka kwenye injini yake ya kushoto, dakika 15 baada ya kutoka ardhini.
Mlipuko ulitikisa ndege hiyo ya Lufthansa aina ya Airbus A321-200 na mashuhuda waliripoti kusikia kelele za msuguano kabla ya milipuko kadhaa kuvuma kupitia kiunzi cha ndege.
Injini ya ndege hiyo ilishindwa kuwasiliana na kukata mawasiliano wakati moto ulipolipuka kwenye ndege hiyo, na kuacha ikiruka kwa kutumia injini moja pekee.
Marubani walipambana kuidhibiti ndege hiyo na haraka kugeuza na kurejea Helsinki, kutua kwa dharura dakika 20 tu baada ya kuwa imeruka majira ya Saa 12 jioni ya Jumamosi.
Msemaji wa Uwanja wa Ndege wa Helsinki-Vantaa alisema: "Ndege ya Lufthansa ililazimika kutua kwa dharura kwenye Uwanja wa ndege wa Helsinki Jumamosi jioni kufuatia matatizo katika injini ya ndege hiyo."
"Ndege hiyo yenye makao yake mjini Frankfurt iliruka kutoka Uwanja wa Helsinki, lakini rubani huyo aliirejesha ndege hiyo Helsinki baada ya takribani saa moja baadaye kufuatia matatizo ya ufundi kugundulika katika injini zake.
"Rubani huyo aliutaaribu mnara wa kuongozea ndege kuhusu matatizo hayo yaliyojitokeza kwenye injini hiyo."
Ndege hiyo iliweza kutua salama kwenye Uwanja wa Ndege wa Helsinki bila kusababisha majeruhi wowote na abiria hao 162 na wafanyakazi 6 walipelekwa katika hoteli moja.
Uchunguzi kamili umeanzishwa na shirika hilo la ndege na kampuni ya Airbus kujua sababu hasa za ajali hiyo.
Kampuni hiyo yenye makazi yake Ufaransa, ambayo inazalisha ndege hiyo kubwa duniani ya A380, bado haijathibitisha endapo itasitisha safari zaidi za ndege hizo za A321.
source-zero99

WASAUDIARABIA WANNE NA WATANZANIA WANNE, WAKAMATWA WAKIHUSISHWA NA MLIPUKO WA ARUSHA, SOMA HAPA




Shabulizi katika kanisa Katoliki la Arusha la sababisha taharuki

Polisi nchini Tanzania inawashikilia watu wa nane kwa madai ya kuhusika na mlipuko wa siku ya jumapili katika kanisa Katoliki la Olasit viungani mwa mji wa Arusha.

Miongoni mwa washukiwa ambao wako mikononi mwa polisi ni raia wanne wa Saudi Arabia, na wengine wanne ni raia wa Tanzania.

Wakati mwandishi wa BBC Baruan Muhuza akuzungumza akiwa hospitalini mjini Arusha amesema idadi ya watu waliofari dunia kufuatia mlipuko huo ni wawili na wala sio watatu kama ilivyoripotiwa hapo awali.

Polisi mjini Arusha vile vile wamethibitisha kuwa waliokufa wakati wa tukio hilo la kigaidi ni wawili.

Kwa wakati huu polisi wanachunguza ni kulipuzi aina gani kilitumika wakati wa shambulizi hilo.

Lakini Baruan Muhuza ambaye alitembelea eneo la tukio mbali na majeruhi hakuna hasara kubwa iliyotokea mahali hapo pia sakafi na kuta za kanisa hilo hazikuchimbika sana.

Kutoka Dar es Salaam Leornad Mubali anaongezea kuwa watu wawili sana wamethibitishwa kufariki dunia katika mlipuko huo uliotokea majira ya saa tano asubuhi katika kanisa katoliki la Olasit nje kidogo ya mji wa Arusha nchini Tanzania na wengine kadhaa kujeruhiwa huku balozi wa papa na watawa waliokuwa katika shughuli hiyo maalumu ya uzinduzi wa parokia mpya ya mtakatifu Yosefu mfanyakazi wakinusurika pia .

Kwa mjibu wa Padri Festus Mangwangi ambaye ni paroko msaidizi wa kanisa katoliki jimbo la Arusha mlipuko huo unapotokea walikuwa tayari katika hatua ya kubariki maji kwaajili ya uzinduzi wa kanisa ulikuwa ukiongozwa na balozi wa Papa Fransis.

                                                          

Hata hivyo Padre Mangwangi ameiambia BBC kuwa taarifa walizonazo muda mfupi baada ya majeruhi kukimbizwa hospitali watu kati yao wamefariki huku wengine wakiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Mount Meru mjini Arrusha.

Shughuli zote kuhusiana na ibada hiyo zimesitishwa huku watalaalamu wa milipuko na polisi wakiendelea na uchunguzi kuhusiana na mlipuko huo.

Bado hakuna taarifa zozote kuhusiana na chanzo halisi cha bomu hilo ama kundi lolote linalodaiwa kuhusika na utegaji wa bomu hilo.

Hili ni shambaulio la kwanza la bomu nchini Tanzania japo kuwa mwaka huu pia kulikuwa na mtukio ya mauaji ya Padre wa kanisa hilo visiwani Zanzibar ambaye alipigwa risasi wakati akiwa anajiandaa kuingia kanisani.
Endelea kusoma topintz kwa updates zaidi

Ruge amjibu Jay Dee

Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, hatimaye mmoja wa wakurugenzi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba ameamua kujibu shutuma za Lady Jaydee dhidi yake. Ruge amekitumia kipindi cha Power Break Fast cha Clouds FM, kujibu rasmi shutuma hizo.

Amesema anasikitishwa na jinsi Jaydee anavyoendesha harakati zake na kudai kuwa anapigana kwenye vita isiyo sahihi.
“Jaydee akaze buti, anapigana na wrong war, vita yake ameidirect tofauti na mizinga yake, bunduki zake amezielekeza kusiko. Skylight Band inamsumbua, akubaliane na ukweli kwamba Skylight ndio iliyoisababishia Nyumbani Lounge kushuka ilivyoshuka, sio Lady Jaydee kama msanii. 

Vita yake na bunduki zke azielekezee Skylight Band.Hajazungumza hata mara moja kwamba ndio kitu kinachosumbua. Mimi naamini kabisa akifanya hiyo kazi, Jaydee bado ni msanii mzuri, ana nguvu, afanye kazi kubwa ya kuweza kurudisha mapambano yake kisanii, kufanya kazi na aangalie tatizo lililotokea Nyumbani Lounge labda anaweza akatatua matatizo lakini sio kushambulia watu kwenye mitandao,” amesema Ruge.
Hata hivyo amesema yupo tayari kukaa meza moja na Lady Jaydee kuzungumza na kumaliza tofauti zao.
“Mimi niko tayari, kesho, kesho kutwa, kama yupo tayari na ana watu wengine wengi tu ambao wanahisi kuna matatizo binafsi ya kuongea na Clouds, twende sehemu nyingine neutral tu, tukodishe, tukae pale tusikie matatizo. 

Haisaidii muziki wetu kuonekana Bongo Flava ni watu ambao kutwa ni kulalamika, kutwa ni maneno na matusi tu pale panapokuwa na matatizo.”
Ameongeza kuwa suala la wasanii wa Bongo Flava kupenda kutukana limewafanya hata wasambaji wa muziki nchini kuacha kufanya kazi nao.
“GMC kampuni iliyowapa pesa nyingi wasanii kwenye biashara sio kuwapa tu kwa kuwagawia, kwa kufanya nao biashara, sasa hivi huu ni mwaka wao wa pili na nusu hawajatoa hata albam moja ya Bongo Flava. 
Wasanii wa Bongo Flava wanafikiria kwa Mamu pamefungwa lakini Mamu anaendelea na wasanii wa Gospel na wanauza vile vile.
Ruge amewaasa wasanii wa Tanzania akiwemo Lady Jaydee kuzitumia vizuri fursa za kiuchumi zinazojitokeza na sio kupenda kulalamika.
“Turudi kwenye mstari wa kuziona opportunities, turudi kwenye mstari wa kusema kwamba leo tunataka kumzungumzia Jaydee akiwa na perfume, akiwa na lipstick kama jana iliyozinduliwa na Rihanna ambayo nikaambiwa kwamba stock ya lipstick mpya ya Rihanna iliyozinduliwa ilikwisha baada ya masaa matatu. 
That’s how bigger brand is supposed to be, and that’s how powerful a brand is supposed to be katika namna ya kuunganisha na fursa zilizopo. Unapokuwa na jina tumia fursa, tumia opportunities zinazokuijia wewe kujiendeleza na kujikuza. 

Lakini suala la kulaumiana halitatukuza kwasababu sisi ni radio binafsi, tutafanya kile tunachokifanya sisi kwa matakwa ya wasikilizaji wetu wengi zaidi, tukiiangalia faida kama motivation, tukiiangalia social responsibility kama motivation yetu ya pili, in the long run kuangalia tunakotaka kwenda kufikia strategy ambayo kampuni yetu inajiwekea.”
Ruge pia amewakumbusha wasanii kutojisahau kwakuwa hakuna msanii anayeweza kuhit maisha yake yote.
“Tuwaandae wasijisahau, na katika hili simzungumzii Jaydee peke yake, nazungumzia wasanii wote wa Tanzania nawazungumzia kuelewa kwamba tunajisahau sana. 

Tunapata hela nyingi sana, sitashangaa miaka mitatu baada ya leo, Ommy Dimpoz naye ukamsikia anaandika hivi hivi, au Diamond naye ni kwasababu hakujipanga tu.”
Kuhusu shutuma kuwa Clouds FM inaua muziki wa Bongo Flava, Ruge amesema, “inanishangaza kidogo kwasababu Clouds inategemea matangazo ya biashara kwa asilimia 95, ndio biashara yake hiyo.
Lakini inategemea muziki wa Bongo Flava kama maudhui ya kipindi, inaanzaje kuuua, inategema wasanii wa Bongo Flava kama wasanii wa kwenda kufanya shows mkoani.”

Kuhusu msimamo wa kampuni Ruge amesema:
Msimamo wa kampuni ni kwamba tunaamini kabisa mwanadada kinara wa muziki wa Tanzania naamini atakaa na kutafakari la kufanya.

Tunamtakia kila lakheri kwenye show yake ya tarehe 31 afanye vizuri lakini atakapokuwa tayari sisi tuko tayari kuendelea kufanya kazi, anajua cha kufanya.

Sunday, May 5, 2013

Mfano wa kuigwa,Mbunge Nassari Akitoa Damu Kuwapa Majeruhi wa Mlipuko wa Bomu Arusha


Mbunge wa Arumeru Mashariki, Jushua Nassari mbali ya kuwahamasisha watu kutoa damu, pia hivi punde amemaliza kutoa damu kwa ajili ya kuwachangia majeruhi waliolipukiwa na bomu kanisani LEO. Pichani Nassari akionekana akitoa damu kwa ajili ya kuwawekea majeruhi.

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Jushua Nassari LEO tangu majira ya saa 5:30 asubuhi wamekuwa wakifanya kazi ya kuwahamasisha watu kutoa damu kwa ajili ya kuwawekea majeruhi mbalimbali waliojeruhiwa na bomu katika kanisa la Parokia Mpya ya Olasiti mjini humo.

Kutokana watu wengi kupoteza damu na kumwagika kwa wingi. Mbali na hilo baadhi ya wahudumu wa hospitali hiyo wameueleza mtandao wa Habarimasai.com kwamba hivi sasa wana wakati mgumu katika kufanya usafi na mwandishi wetu Joseph Pantaleo ameshuhudia manesi hao wakisafisha damu sakafuni kila wakati huku wakimwaga maji na dawa ili kuondoa mabaki ya damu hiyo.

Lema na Nassari wameonekana wakiwahamisisha watu kutoa damu na wengi wameitikia wito huo. Endelea kusoma Topintz.blogspot.com kwa taarifa zaidi.

Meet The 55-Year-Old Woman Who Looks Like A 29-Year-Old [Photos]

 Shellie Bo Talley is a 55 year woman who looks and dresses like a woman in her 20's.

The only thing that gives her away is her grey hair. Shellie is a mum of 4, host and CEO of Blaq Pearl Entertainment. She says she's never had surgery.




Picha Mbali Mbali Kutoka Eneo Bomu Lililo Lipuka Kanisani Arusha


Mojawapo wa majeruhi


Idadi ya watu 3 au zaidi wamefariki dunia na wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa vibaya katika shambulio la kigaidi iliyotokea leo asubuhi katika Kanisa la Katholiki Parokia ya Ola City Jijini Arusha.
Majeruhi wa tukio hilo wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Ausha, Mount Meru
kwa matibabu zaidi, taarifa zilizo hivi sasa zinadai kwamba mtu mmoja anashikiriwa na Jeshi la Polisi kuhusiana na tukio hilo.
Shambulio hilo la kigaidi limeacha maswali mengi bila majibu huku jeshi la Polisi Arusha likiendelea kumhoji mtuhumiwa huyo, shambulio hilo lilifanyika wakati wa uzinduzi wa kanisa hilo.
PICHA ZAIDI>>>


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgeEKYHlyhhjnPhMLDGm-szASmxjzWiFxc3nkihAfWEdQdiNtJjM_dgCRa_NgLs3fnEjN4GCc8gKkcP44fsvM18Jcii03WhJFZ9DR_wnknwbkr1nUdXm238UkmVD71ng26Cg7PjKmdwa9c/s1600/bomu1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEitpFFZOjC0EMAX-oq3KqUNda9D88TGqp8jM0BmHsCoMUdpBWePRJFx9La2F7clZZLe-OKhQigeCmZyMCXIHvQisfbTwPgP2-aDmXdre0mbo6p13Hdm35cCDIzuc2Sz5aM0wv3_cPc8Swk/s1600/bomu2.jpg

Cheki Pics mpya za Diamond alizopost,akiwa Gym nchini Uingereza

Cheki Diamond akijiweka Fit nchini Uingereza...
  
Ni siku nyingine yanipasa kmshukuru mwenyezi Mungu
 kwa pumzi yake na uzima tele
alionijalia mpaka muda na saa hii.....Thnx god
nilifika salama jana Reading...!!
Nipona dancers wangu nao ni wazima na
 wenye afya tele na furaha kuwepo
nami hapa...!!
Asubuhi ya  leo katika kujianda na kuweka mwili
safi nikaona isiwe mbaya
nikaenda Gym kuweka body sawa kama
kawaida yangu mtu wa mazoezi
kwa ajili ya kuweka mwili sawa na vitu kadhalika.....
Nkaona isiwe mbaya kama ntashare na nyie Fans wangu
kuwajuza yanayoendelea huku
Rais wa wasafi nikiwa nimekuja kikazi zadi.....,
Na leo usiku kukinukisha ndani y jiji
la READING....!!
Napenda kuwatakia siku njema.....!!
Mazoezi tu ndo yanaleta vitu kama hizi....sio nin na
nini.....kujituma na kujipenda afya yako...!

FBI wapandisha dau kwa yoyote atayefanikisha kukamatwa kwa shangazi wake 2pac shakur




THE aunt of rap icon Tupac Shakur has become the first woman to land on the FBI's list of most wanted terrorists. 

Cop killer Joanne Chesimard, 65 – who was also reportedly Tupac’s godmother – was convicted in 1977 of murdering a police officer, Trooper Werner Foerster, in New Jersey, US. 

She was jailed but escaped in a dramatic break-out and later fled to Cuba. 

The FBI have now doubled the reward for her capture, placing a $2million (£1.3m) bounty on her head. 

Special agent Aaron Ford said: "Today, on the anniversary of Trooper Werner Foerster's death, we want the public to know that we will not rest until this fugitive is brought to justice". 

Tupac Shakur was one of the most successful rappers in the 1990s, whose career was cut short when he died at the age of 25 in a Las Vegas shooting. 




In May 2, 1973, cops stopped former Black Liberation Army member Chesimard and two others at the New Jersey turnpike, for a driving violation before a gunfight broke out. 

Both police officer Werner Foerster and one of Chesimard’s passengers were killed in the shooting. 

Chesimard was arrested soon afterwards and convicted four years later of first-degree murder, assault and battery of a police officer, assault with a dangerous weapon, assault with intent to kill, illegal possession of a weapon and armed robbery. 

She was handed life behind bars and began her sentence at a maximum security prison in West Virginia. 

But after being transferred to a New Jersey minimum security prison, she escaped in 1979 with the help of three people visiting her, holding security guards at gunpoint and forcing them to open the prison gates. 

Saturday, May 4, 2013

WAASI WA M23 WATOA VITISHO VIKALI KWA TANZANIA KWA MARA YA PILI



Kuptia Mtandao wa kijamii ya Twitter Jeshi la waasi wa nchini DRC kimetuma ujumbe wa vitisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe, kufuatia kauli aliyoitoa Bungeni leo kuhusu Tanzania kupeleka jeshi lake DRC kukabiliana na waasi hao.

Ni hii ndio tweet yao
M23 Congo RDC ‏@m23congordc 16h @ Bernard Membe tunasubiri majeshi yako Congo. Usidaganye bunge lako eti Tanzania inakuja zima moto,bali munakuja kuweka mafuta kwenye moto 

MAJIBIZANO YAO NA WAZIRI MEMBE


Sir Alex Ferguson to undergo hip surgery


Alex Ferguson
Sir Alex Ferguson, the Manchester United manager, will undergo a hip operation in July. 
Sir Alex Ferguson is to have a hip operation that could mean he misses the start of next season.
Manchester United have confirmed reports that Ferguson is booked in for surgery immediately after the club return from their three-week pre-season tour at the end of July. That Ferguson will have his summer break and then travel to Thailand, Australia, Japan and Hong Kong before the operation suggests he is not going to be sidelined for too long.
However, United must face either Manchester City or Wigan in the Community Shield at Wembley on 11 August, with their title defence due to begin the following weekend.
No timescale is being put on Ferguson's likely absence but it would require a rapid recovery from the 71-year-old in order for him to be back in the dugout by then.
Ferguson has always said his health would dictate how long he would carry on as United manager. He was taken ill at a function in Scotland almost 12 months ago, although his nosebleeds then were put down to the amount of short flights he had undertaken. Ferguson subsequently missed pre-season matches in Norway and Germany and also sat out a mid-winter break in Qatar.
Other than that though, he has remained in bullish mood and on Friday poured champagne for journalists attending his press conference at United's Carrington training ground in recognition of a 13th Premier Leagu title.

Azam FC washindwa kuendeleza rekodi yao kwenye kombe la shirikisho,wafa kiume watolewa kwa mabao 2-1 na AS FAR Rabat ya Morocco

Azam fc wakiwa wakishiriki kwa mara ya kwanza katika kombe la shirikisho wametolewa katika hatua ya 3 katika michuano hiyo kufuatia kupokea kichapo cha goli 2-1 toka kwa timu yenye uzoefu AS FAR Rabat ya Morocco.Azam wakiwa wageni wa AS FAR Rabat waliuwanza mchezo taratibu huku AS FAR Rabat wakifanikiwa kutia mpira kwenye nyavu za Mwadini Ally katika dakika ya 1 lakini goli hilo lilikataliwa kutokana na mchezaji aliyedumbukiza mpira nyavuni kuwa ameotea.
John Raphael Bocco aliwanyamazisha mashabiki wa AS FAR kufuatia goli alilofunga katika dakika ya 6 kwa mpira wa adhabu uliopigwa na Bocco na mpira kuingia moja kwa moja katika nyavu za AS FAR.
Goli hilo lilipelekea AS FAR Rabat kuendelea kutawala mchezo na mnamo dakika ya 12 Rabat walipata goli la kusawazisha kwa mkwaju wa penati uliopigwa na Abdul-halim Ash-shakir.
Azam fc waliendelea kutumia mashambulizi ya kushtukiza na kupoteza nafasi kadhaa, na katika dakika ya 34 mfungaji wa goli la Rabat Abdul-halim Ash-shakir alizawadiwa kadi nyekundu na kupeleka utawala wa mchezo kwa azam fc.
Kadi nyekundu hiyo ya moja kwa moja kwa Ash-shakiri kufuatia mchezaji kucheza faulo mbaya kwa Brian Umonyi.
AS FAR Rabat walijipatia goli la pili katika dakika 42 kupitia kwa Mohammed Altadir na kuwafanya kwenda Azam fc mapumziko wakiwa nyuma kwa goli 2-1.
Kipindi cha pili kilianza kwa kasi huku azam fc wakiendelea kupoteza nafasi na mnamo dakika ya 55 Azam fc walipata pigo kufuatia David Mwantika kuzawadiwa kadi nyekundu, na katika dakika ya 75 Waziri Salum pia kuzawadiwa kadi nyekundu.
John Bocco amanusura aipeleke azam katika hatua inayofuatia baada ya kupoteza penati katika dakika ya 82 na kupelekea mchezo kumalizika kwa azam fc kuchapwa goli 2-1.

Azam fc leo:
MWADINI ALLY, HIMID MAO, WAZIRI SALUM (Kadi nyekundu 75), DAVID MWANTIKA (kadi nyekundu 55), JACKSON ATUDO, MICHAEL BOLOU, BRIAN UMONYI / KHAMISI MCHA, SALUM ABOUBAKARI, HUMPHREY MIENO / MWAIKIMBA, JOHN BOCCO, KIPRE TCHETCHE.       

HIKI NDICHO KILICHOGUNDULIKA SIKU CHACHE BAADA YA KIJANA WA KARIAKOO KUJITUPA KUTOKA GHOROFANI NA KUFARIKI.

TAARIFA za awali zina arifu kuwa Mfanya Biashara, Costa Shirima anaedaiwa kujirusha kutoka gorofa ya tisa ya Hoteli ya Concord iliyopo Kariakoo Jijini Dar es Salaam inaelezwa kuwa alikuwa asafiri na ndege ya saa 10 jioni kuelekea China kufuata bidhaa za maduka yake.

Shirima (47), ambaye amefikwa na umauti muda mfupi baada ya kudondoka chini ni mfanyabiashara aliyekuwa akimiliki maduka kadhaa ya urembo wa akina mama yaliyopo jirani na Hoteli hiyo ya Concord.

Aidha taarifa hizo za awali kutoka kwa mmoja wa wanafamilia ambaye alidai kuwa si msemaji wa familia ya Shirima ya Mwika Moshi mkoani Kilimanjaro, nikuwa Marehemu mara kwamara alikuwa akipendelea kula katika hoteli hiyo na siku ya tukio inadaiwa kuwa aliwaeleza watu kuwa anapanda juu ya Hoteli hiyo kupunga upepo baada ya kuhisi hewa nzito mahali alipokuwa.


Inadaiwa kuwa baada ya kupanda huko juu ghafla alianguka chini na kudondokea gari dogo aina ya Toyota Corola linalofanya biashara ya Taxi na kupoteza maisha yake na gari hilo kuharibika vibaya kutokana na kishindo hicho.

Marehemu Shirima mbali na kuwa Mfanya Biashara wa muda mrefu Kariakoo pia alikuwa akiendelea na Ujenzi wa Jengo la Gorofa maeneo ya Kariakoo.

Marehemu ameacha Mjane na watoto 5.

Uchunguzi wa Kipolisi bado unaendelea kuhusiana na tukio hilo na taarifa kamili zitatolewa pindi zitakapo kamilika. Timu nzima ya Father Kidevu Blog inatoa pole kwa wote waliofikwa na Msiba huo.

CHEKI ALICHOANDIKA DIAMOND KUHUSU PENNY!!

Pengine utundu wa Diamond ndo kitu pekee kinachowafanya akina dada wamgombanie.. Leo ni birthday ya Penniel Mungilwa na mpenzi wake Diamond Platnumz, amemwandikia maneno matamu.



“Sometimes I wish you could know how much you mean to me…its a lot’..fu***n a lot, I can’t even explain it.. It’s even more than money… sometimes I don’t even know how to col u, a wife, friend,sister,bedmate, partner.. Ooh God! I don’t know coz you are more than dat,” 
“Siku zote umekuwa mwema, mkarimu,mpole,nidhamu na mwenye mapenzi tele juu yangu…. You always should keep this in your mind “I LOVE YOU SO MUCH”… Happy birthday Darling.”ameandika Diamond

Kwa maneno haya, hakuna msichana anayeweza kujizuia kulia kama akiambiwa na mpenzi wake.
Baada ya kuona ujumbe huo ulioandikwa na Diamond kwenye Instagram, Penny amejibu:

“Baby u just made me cry!! Oh God Naseeb I luv u so much hubby…wallahi sina hata cha kujibu to make u understand How I appreciate ur sweet luv,God has given me so many things but bringing u in my life is the best gift I have received…U just made my day,years,a lifetym…I wont forget this…thank u hubby.”