![]() |
Mojawapo wa majeruhi |
Idadi ya watu 3 au zaidi wamefariki dunia na wengine zaidi ya 50
wamejeruhiwa vibaya katika shambulio la kigaidi iliyotokea leo asubuhi
katika Kanisa la Katholiki Parokia ya Ola City Jijini Arusha.
Majeruhi wa tukio hilo wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Ausha, Mount Meru
kwa matibabu zaidi, taarifa zilizo hivi sasa zinadai kwamba mtu mmoja anashikiriwa na Jeshi la Polisi kuhusiana na tukio hilo.
Shambulio hilo la kigaidi limeacha maswali mengi bila majibu huku jeshi
la Polisi Arusha likiendelea kumhoji mtuhumiwa huyo, shambulio hilo
lilifanyika wakati wa uzinduzi wa kanisa hilo.
PICHA ZAIDI>>>

PICHA ZAIDI>>>

Dah!poleni sana wa arusha,walipuaji watapatikana tu.
ReplyDeleteHivi binadamu tunaenda wapi?mbona hamna utu.
ReplyDelete