Cheki Diamond akijiweka Fit nchini Uingereza...
 |
Ni siku nyingine yanipasa kmshukuru mwenyezi Mungu kwa pumzi yake na uzima tele alionijalia mpaka muda na saa hii.....Thnx god nilifika salama jana Reading...!! Nipona dancers wangu nao ni wazima na wenye afya tele na furaha kuwepo nami hapa...!! Asubuhi ya leo katika kujianda na kuweka mwili safi nikaona isiwe mbaya nikaenda Gym kuweka body sawa kama kawaida yangu mtu wa mazoezi kwa ajili ya kuweka mwili sawa na vitu kadhalika..... Nkaona isiwe mbaya kama ntashare na nyie Fans wangu kuwajuza yanayoendelea huku Rais wa wasafi nikiwa nimekuja kikazi zadi....., Na leo usiku kukinukisha ndani y jiji la READING....!! Napenda kuwatakia siku njema.....!! |
 |
Mazoezi tu ndo yanaleta vitu kama hizi....sio nin na nini.....kujituma na kujipenda afya yako...! |
0 comments:
Post a Comment