
Zaidi ya watu 39 wameuawa na wengine 150 kujeruhiwa baada ya
watu wenye silaha kuliteka jengo lenye maduka la Westgate, jijini
Nairobi, Kenya.
Tukio hilo lilitokea jana mchana ambapo watu
waliokuwa wakizungumza lugha ya kigeni, inayodhaniwa kati ya Kiarabu au
Kisomali, kuvamia jengo la ghorofa na kushambulia watu kwa risasi.
“Hawakuwa wakizungumza Kiswahili. Walikuwa
wakizungumza...