Facebook
Facebook
You must log in first.
:forum-110833362/smallform/0:
Need a Facebook account?
Help Center
English (US) · বাংলা · हिन्दी · More…
Facebook ©2012

Saturday, May 4, 2013

YALIYOMPATA RICK ROSS, SASA YAMPATA WEEZY. MKATABA WAKE NA MOUNTAIN DEW WAPIGWA CHINI

Baada ya Rick Ross kupigwa chini na Reebook, sasa ni zamu ya Tunechi. Lil’ Wayne amepoteza mkataba wake kama msemaji wa kinywaji cha Mountain Dew kufuatia mashairi kwenye wimbo wake Karate Chop.
lilwayne_emmett_till
Lil’ Wayne ambaye amekuwa akitumiwa kwenye matangazo ya Mountain Dew tangu mwaka 2012, ameikasirisha familia ya Emmitt Till kwenye wimbo “Karate Chop” ambapo Weezy anasikika akisema, “Pop a lot of pain pills, ’bout to put rims on my skateboard wheels … beat that p***y up like Emmett Till.”
Emmett Louis Till alikuwa ni mmarekani mwenye asili ya Afrika aliyeuawa huko Mississippi mwaka 1955 akiwa na miaka 14 baada ya kumtongoza msichana wa kizungu.
Licha ya kutuma barua ya kuomba radhi kwenye familia hiyo, ilikataliwa na ndugu zake pamoja umma kumkosoa vikali Lil Wayne.
Japo kampuni ya Pepsi haijatoa maelezo zaidi, hatua hiyo ilitangazwa na msemaji wa Lil Wayne Sarah Cunningham, aliyesema kuwa ni kutokana na kupishana kiubunifu.

Friday, May 3, 2013

Wanawake Maarufu 60 Africa 2013: Elsie Kanza mtanzania pekee!

Elsie Kanza

MEDIA AND CULTURE
  • Dambisa Moyo - Writer, economist
  • Angelique Kidjo - Musician, Activist. Benin
  • Biola Alabi - Managing Director, MNET Africa
  • Chimamanda NgoziAdichie - Author
  • Isha Sesay - Anchor, CNN
  • Julie Gichuru - Journalist. Kenya
  • Khanyi Dhlomo - Founder, Destiny Magazine
  • Mariam Doumbia - Musician
  • Oumou Sangaré - Musician. Mali
  • Patricia Amira - Talk Show Host. Kenya
  • Yvonne Chaka Chaka - Musician. South Africa
  • Tsitsi Dangarembga - Novelist, screenwriter. Zimbabwe


FASHION AND ENTERTAINMENT

  • Iman - Model, Philanthropist, Businesswoman
  • Alek Wek - Model, Philanthropist. South Sudan
  • Bethlehem Tilahun Alemu - Founder, Sole Rebels. Ethiopia
  • Charlize Theron - Actress, Philanthropist. US/South Africa
  • Folake Folarin-Coker - Founder, Tiffany Amber. Nigeria
  • Gabourey Sidibe - Actress. US/Senegal
  • Genevieve Nnaji - Actress. Nigeria
  • Lisa Folawiyo - Founder, Jewel by Lisa. Nigeria
  • Liya Kebede - Model, Philanthropist
  • Magatte Wade - Entrepreneur. Senegal
  • Thandie Newton - Actress. UK/Zimbabwe

BUSINESS AND TECHNOLOGY

  • Bridgette Radebe - Exec Chairperson, Mmakau Mining, SA
  • Divine Ndhlukula - Founder, Securico, Zimbabwe
  • Eva Muraya - Co-Founder, Color Creations Group. Kenya
  • Eleni Gabre-Madhin - Economist and CEO, Eleni LLC. Ethiopia
  • Isis Nyongo - Managing Director, InMobi Africa. Kenya
  • Julie Ehumian - Country Manager, Google Nigeria
  • Nonkululeko Nyembezi-heita - CEO, ArcelorMittal
  • Ory Okolloh - Policy Manager, Google Africa. Kenya
  • Precious Moloi-Motsepe - Chairperson, African Fashion Itnl
  • Rebecca Enonchong - Founder and CEO, AppsTech. Cameroon
  • Wendy Ackerman - Non-Exec Director, Pick n Pay Holdings
  • Wendy Luhabe - Entrepreneur. SA

FINANCE

  • Lisa Opoku-Busumbru - COO, Goldman Sachs
  • Cathy Echeozo - Managing Director, GT Bank
  • Bernadine Okeke - EVP / Head of Private Banking, First Bank
  • Bola Adesola - Managing Director/CEO, Standard Chartered
  • Genevieve Sangudi - Managing Director, Carlyle Group Africa
  • Gugu Msibi - Senior Partner, Ernst & Young
  • Linah Mohohlo - Governor, Bank of Botswana
  • Maria Ramos - CEO, ABSA Group
  • Minoush Abdel-Meguid - Co-Founder, Union Capital
  • Ngozi Iweala Okonji - Minister of Finance. Nigeria
  • Pearl Esua-Mensah - Deputy MD, UT Bank
  • Tsega Gebreyes - Managing Partner, Satya Capital
  • Yvonne Ike - CEO West Africa, Renaissance Capital

PHILANTHROPY AND ADVOCACY

  • Graca Machel - Humanitarian, Mozambique
  • Ellen Johnson Sirleaf - President of Liberia
  • Elsie Kanza - Head of Africa, WEF. Tanzania
  • Fatou Bensouda - Chief prosecutor, Intl Criminal Court. Gambia
  • Hadeel Ibrahim - Philanthropist
  • Jeanette Kagame - 1st Lady of Rwanda
  • Joy Phumaphi - VP, Human Development Network, World Bank
  • Joyce Banda - President of Malawi
  • Leymah Gbowee - Activist, Liberia
  • Dr Mamphela Ramphele - Activist, Academic, Businesswoman
  • Toyin Saraki - Founder, Wellbeing Foundation Africa. Nigeria
  • Nkosazana Dlamini Zuma - Chair, African Union Commission

Mario Balotelli atoswa na demu wake


MARIO Balotelli ameachwa na aliyekuwa mchumba Fanny Neguesha — siku chache baada ya kuripotiwa kusema kwamba kikosi kizima cha Real Madrid kingeweza kulala nae ikiwa wangeitoa Borussia Dortmund.
Mwanamitindo Fanny, 22, aliondoka kwenye nyumba ya mshambuliaji huyo huko Italia baada ya kugombana kutokana kutoelewana baina ya wawili hao.

Straika huyo wa AC Milan Balotelli, 22, alisema wachezaji wote wa Madrid — akiwemo Cristiano Ronaldo — wangeweza kufanya mapenzi na demu wake Fanny ikiwa juzi wangeweza kufanya maajabu ya kugeuza matokeo ya mechi ya kwanza (4-1) na kufanikiwa kwenda Wembley.

Balo alikaririwa na gazeti la Marca akisema: “Ikiwa Real Madrid wataenda kucheza fainali ya  Champions League, nitamtoa mchumba wangu alale nao wote." Ingawa baadae alikana kutoa kauli hiyo.

Balotelli  aliachana na mama wa mtoto wake wa kike mtangazaji wa TV  Raffaella Fico, 25, kisha ndio akaanzisha mahusiano na mwanamitindo Fanny ambaye ana asili ya Ubelgiji.

RAPPER WA KIKE BONGO WITNESSZ MWAIJAGA AONESHA TATTOO ZAKE MPYA




Mwanadada Witnessz anayejulikana kama mkali wa Rap kwa kina dada hapa TZ ameonesaha tattoo zake mpya kupitia facebook.

Kama ulikuwa hujui huyu ndiye Demu tajiri zaidi EAst africa na kati

Hayo ni magari yake,hamna la kuazima hapo.
simple Zari
nadhani unalijuwa aina ya gari
hapa bongo  analo naniiiiii??


 
ooooh lovely
haaaaa watu hawazungumzi wanatenda bana
kudadadeki hotel ya zari inakuja +256
watu wenye mikwanja yao huwa hawaongei
 sanaaaa ni vitendo tuuu
huyu ndiye Diva wa EA
 wengine tubaki tukiongea tu
 yeye anaonyesha matendo
the bosslady

amechoka kuhama hama ktk nyumba zake
 hii anakodisha na full furnished  apartment

 

Agnes Masogange atupia tena picha tata mtandaoni


Akatupia tena nyingine hizi hapa chini...

HUYU NDO KIJANA ALIYEJITUPA TOKA GOROFA YA 9 KARIAKO DSM, CHEKI PICHA HAPA



Muda mfupi uliopita,Mtu mmoja alietambulika kwa jina la Shirima ambaye ni Mfanyabiashara katika moja ya Maduka ya Kariakoo jijini Dar es Salaam,amejirusha toka ghorofa ya 9 ya Hoteli ya Concord iliopo Maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam na amekimbizwa hospitali kwa uangalizi zaidi maana haijafahamika kama kapoteza Maisha au bado yu hai.


Mfanyabiashara huyo alijirusha toka ghorofani na kuangukia Gari aina ya Toyota Corolla ambayo ni taxi iliyokuwa imepaki nje ya hoteli hiyo....chanzo cha kujirusha kwa mfanyabiashara huyo bado hakijafahamika mpaka sasa.


Mashuhuda wa tukio hilo lililotokea muda mfupi uliopita,wanaeleza kuwa walipatwa na mshuko baada ya kusikika kishindo cha kitu kilichokuwa kimeangukia gari hilo na waliposogea kushuhudia ndipo walipobaini kuwa alikuwa ni mtu huyo alietambulika kwa jina moja la Shirima.

Thursday, May 2, 2013

50 cent amtusi Rick Ross,amfananisha na mwanamke



Wote tunafahamu kuwa hakuna maelewano mazuri kati ya rapper 50 Cent na boss wa MayBach Rick Ross, leo kupitia Instagram kaweka picha ya Rick Ross akiwa na P.Diddy ambayo ukiitazama kwa haraka haraka  inaweza kukupa tafsiri tofauti kidogo, na kisha akaandika caption 'Good Morning Girl. love is in the air". 

Next show ya Diamond jijini London ni hii hapa itafanyika on 3rd of May


Hello my dear Fans wa UK.....Baada ya kufanya uharibifu
mkubwa pale jijini london sasa
wakazi wa Luton.....Naongelea Ballerz & Divaz
wakali wote Tujisogeze hapa tena.....
Ts Gona be craiiziee ryt Here nikiwa na silaha zanu mbili
hatari.....Kushoto Dumi Utamu vanilla
pembeni Mose Iyobo.....Basi patakuwa hapatoshi pale
kati.....Mahana ntaakikisha Namaliza Mawazo
yangu yote pale pale kisha......Nilewe na watu
wangu wa Nguvu Sana......Kisha
Hiyo Siku ntamchagua Diva Mmoja wa Nguvu
kumpeleka kwa Mama Naseeb....!!
Itakuwa Pale sehemu yenye mandhari mazuri na yenye
utulivu 93 Tomlinson Avenue,Luton L4 OQL
Kwa Entrance ya £20 getini na £15 kabla....ticket ni
chache...!! Nyama Choma na vyakula
vingine vitapatikana vyote......! Tukutane pale Tujue
Nani atalewa kati yangu na Nyie mtakaofika
na Ladies N Gents Tuje tuone nani atapelekwa
kwa Mama Diamond.....!!
Usikoseeeee....!!!

NEEMA KWA WALIOFELI FORM 4:..MARKS ZAO ZITAPANGWA UPYA


TUME ya kuchunguza sababu za kufeli kwa kiasi kikubwa kwa wanafunzi wa kidato cha nne waliofanya mitihani ya kuhitimu mwaka 2012 imekamilisha kazi yake na taarifa za uhakika zilizolifia gazeti hili zinasema , upangaji alama zao utafanyika upya.


Kama ambavyo gazeti hili lilivyobaini katika uchunguzi wake wa kiuandishi kwamba kulifanyika mabadiliko ya utoaji alama kwa ajili ya mitihani waliyofanya wanafunzi mwaka huo (2012) bila maandalizi kwa wadau, tume hiyo imependekeza alama zipitiwe upya (regrading).


Katika alama za awali, alama D anapoyopewa mtahiniwa baada ya mtihani wake kusahihishwa ilikuwa ni kuanzia alama 21 kwenda mbele na F ilikuwa 20 kushuka chini lakini katika mabadiliko yaliyoleta ‘maafa’ ya kufeli kwa watahiniwa wa mwaka jana, alama D ilianzia 35 na kuendelea, wakati ile ya kufeli (F) ilianzia alama 34 kushuka chini.


Vyanzo mbalimbali vya habari vimeeleza ya kwamba Jumatatu wiki hii, Baraza la Mawaziri lilikutana mjini Dodoma na kujadili, pamoja na mambo mengine, uamuzi wa kurejea upangaji alama za mitihani hiyo ya wanafunzi iliyosahihiswa kwa kutumia alama za juu (yaani kufeli ni kuanzia alama 34 badala ya 20).


“Baraza limeafikiana na ripoti kwamba upangaji alama ufanyike kwa vigezo vya zamani kwa sababu uamuzi wa kutumia alama mpya ulifanyika bila maandalizi ya kutosha, ikiwa ni pamoja na kutowapa muda wa kutosha wadau.


“Mitihani ya shule na kikanda ilikuwa ikiandaliwa na kusahihishwa kwa alama za zamani, kumbe kulikuwa na alama mpya zimewekwa kitaifa, kwa hiyo kuna uzembe ulifanyika wa kuwafahamisha wadau kwa wakati,” kinaeleza chanzo kimoja cha habari.


Katika uchunguzi wake, Raia Mwema lilibaini kasoro kadhaa zilizochangia kufeli kwa idadi kubwa ya wanafunzi katika mitihani ya kidato cha nne mwaka 2012 na kati ya kasoro hizo ni kutumia alama mpya za kupanga matokeo badala ya alama za zamani, bila kufanyika kwa maandalizi ya kutosha. 


Kutokana na kufeli huko, Februari mwaka huu, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda aliunda tume ili kuchunguza sababu za kufeli kwa wanafunzi wengi waliohitimu kidato cha nne mwaka 2012. Katika matokeo hayo ya kidato cha nne 2012, asilimia 60 ya wanafunzi waliofanya mtihani wa kuhitimu walipata daraja sifuri.


Tume hiyo ilihusisha baadhi ya wadau wakiwamo kutoka shule na vyuo binafsi vya elimu, Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii na Umoja wa Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (Tahossa), asasi zisizo za kiserikali (NGOs) zinazojishughulisha na masuala ya elimu.

RAIA  MWEMA

Ommy Dimpoz apiga show ya nguvu nchini Italy jana

Usiku wa kuamkia jana kwenye siku ya wafanyakazi duniani, May Mosi, Ommy Dimpoz alikuwa jijini Milan Italia ambako alipiga show ya kufa mtu. Katika show hiyo, Ommy Dimpoz alifanikiwa kupata mashabiki kibao wakiwemo wazungu wa nchini humo. Hizi ni picha za show hiyo.
photo(2)


photo(6)
photo(7)

Lil Wayne azidiwa tena

According to TMZ, rapper Lil Wayne was rushed to Cedars-Sinai Hospital in L.A on Tuesday night after suffering another seizure. He was treated and released yesterday morning.

Wayne then did a radio interview yesterday afternoon and explained he's an epileptic, and has been suffering from seizures since he was a kid.

Wednesday, May 1, 2013

Team endless fame ya Wema,Cheki Members wake hapa.


 

Hiki ndio kikosi ambacho wema anakiamini sana kwa sasa,katika kila kitu katika maisha yake hawa ndugu rafiki na hata wafanyakazi wake anaamini ipo siku maisha yake na yawafanyakazi wake yatakuwa sawa kimaendeleo. alilisema hilo kutokana na mshahara mzuri na mikataba mizuri aliyowapa wafanyakazi wake ambayo haiwabani hata kidogo.

 Kwa kawaida uwaonyesha upendo wa hali ya juu  wafanyakazi wake na mara nyingi upenda kuitwa mama.kutokana na anavyowatrity wafanyakazi wake kama watoto wake wakuwazaa.Hii ndio sababu ya wafanyakazi wake upenda kumwita wema mama na si sababu ingine.pichani wema akimbusu tiny daddy mzazi.

 Wakati wote ni wakati wa furaha japokuwa kuna mda mwingine mama uamka amekarika kidogo labda shemeji nyumbani amemstress kidogo na vitu kama hivyo kwahyo ni mambo yakawaida kibinadamu ndiokwenye picha hajacheka sana.inaonekana itakuwa amelazimishwa!

Hii hapa TEAM ENDLESS FAME kiukweli NAWAFAGILIA SANA na NAWAKUBALI MKO JUU na ni mfano wakuigwagwa.

 Wakati mwingine ucheza na kufurahi na timu hasa anapoharikwa kwenye shghuli mbalimbali bila yakuweka mapozi wala kuleta ustar huyu ndio wema hapo akiwa na manager wake MARTIN KANDINDA.


 Na huu ndio mkoko wake mie napokutana nao njianinikiwa na ki OPER changu au nikiukuta umepaki pale oficekwake nje napenda kuuhita HESHIMA KWA WANAWAKE.Q7

Na mwisho kabisa namleta kwenu kijana mtanashatI anaesimamia kazi zote za WEMA SEPETU the super duper DESIGNER MR SINGLE BUTON Ladis and gentleman put ur hands up kwa MARTIN KADINDAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!
Nimemaliza.

Picha zaidi za DIamond akiwa nchini UIngereza.


Credits;THE SPORAH SHOW

Mali za Goldie kupigwa mnada kesho


 goldie harvey wills properties to charity
All the worldly assets acquired by late BBA star, Oluwabimpe Susan Harvey aka Goldie Harveywho died on Valentine’s day (February 14,2013) has been packed up ready for charity auction.
According to family sources, all her properties and belongings have been packed up ready for a major auction scheduled for tomorrow Wednesday May 1st, 2013.
A family representative, Mr Deji Adetayo said though the deceased doesn’t have an official will, before her death, she had an agreement with her oyinbo hubby, Mr Andrew Harvey to auction all her items for charity.
The sale will take place tomorrow at Goldie Harvey‘s house located at #30B Ologunkutere street in Parkview Estate, Ikoyi Lagos.