Baada ya mwanadada Shilole kutupia picha yake akiwa nchini Marekani akiwa na Taulo,watz wameipokea picha hiyo kwa mitazamo tofauti.Sama hapa alichokisema Sintah kuhusu picha hiyo...

"U can take the girl out of the village but can’t take the village out of her..!!
Majangaaaa hivi unawajua wale wanawake wa uswahilini?? wanaweza wakatoka asubuhi kwa mangi dukani wanaomba robo sukari na taulo na mswaki hawajapiga sasa Shilole ni nini hiki umepeleka kwa Obama ??
Majanga Premier i do the seeking and you do the judging"-sintah
0 comments:
Post a Comment