
Mwanamke wa India mwenye miaka 24 amelazimishwa kuolewa na kubakwa na
kundi la wanaume kama adhabu ya 'heshima' baada ya kaka yake kutoroka na
rafiki yake wa kike, imebainika jana.
Mwanamke huyo - ambaye hakuweza kutajwa kwa usalama wake - aliambiwa
anatakiwa kuolewa na mume ambaye ni kaka wa mke wa mchumba mpya wa kaka
yake kama 'kisasi' kwa uzinzi wa wawili hao.
Na ndani ya masaa kadhaa za kufunga pingu za maisha na mumewe mpya,...