
Hii ni Dubai mwaka wa 1950 kabisa angalia picha kwa umakini kabisa........unaweza kusema ni nchini iliyozigirwa na maji na isiyona muonekano kabisa....lakini kutoka mwaka huo hadi leo hii mwaka 2013 ni hatua kubwa imechukuliwaya maendeleo nchini Dubai....
Dubai kwa sasa ndio nchi nzuri kuliko zote dunia kwa kila aina ya starehe ukiachazamani iliyokuwa inaongoza nchini Marekani kutokana na vivutio vingi namji wake mzuri kabisa Las Vegas,Nevada.......
Na...