Facebook
Facebook
You must log in first.
:forum-110833362/smallform/0:
Need a Facebook account?
Help Center
English (US) · বাংলা · हिन्दी · More…
Facebook ©2012

Wednesday, December 4, 2013

FAHAMU JINSI MAMILIONI YANAVYOTUMIKA ILI KUPANGA MATOKEO YA SOKA

FAINALI za Kombe la Dunia zitakazofanyika Brazil mwakani zipo kwenye hatari kubwa ya kukosa mvuto. Ni kwa sababu kuna baadhi ya mechi matokeo yake yatapangwa na wacheza kamari, imeelezwa. Wiki iliyopita watu sita walitiwa nguvuni kwa madai ya kushiriki kwenye kucheza kamari za kupanga matokeo ya mechi za soka na mmoja wa watuhumiwa hao alifichua kwamba mipango imeshawekwa tayari kwa ajili ya fainali zijazo za Kombe la Dunia na kwamba...

Sunday, November 24, 2013

Kapuya akimbia nchi

SIKU moja baada ya binti anayedaiwa kubakwa na kutishiwa kuuawa na Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM), kufungua jalada polisi dhidi yake, inadaiwa mbunge huyo ametoweka nchini...   Vyanzo mbalimbali vilivyo karibu na mbunge huyo, vinadai kuwa amesafiri juzi kwenda nchini Sweden kwa masuala ya kikazi, na kwamba atakuwepo huko kwa muda usiopungua mwezi mmoja.   Chanzo kingine kimedokeza kuwa mbunge huyo...

Thursday, November 21, 2013

Sababu za Adan Rage kusimamishwa Adan Rage wazijua?Zisome hapa..Uongozi umezifafanua zaidi.

Jana uongozi wa klabu ya Simba ulitangaza kumsimamisha mwenyekiti wake Ismail Aden Rage. Maamuzi hayo yalitokana na kikao cha kamati ya utendaji kilichofanyika hapo juzi, Hizi ni Miongoni mwa sababu zilizotolewa kwenye mkutano wa waandishi wa habari zilizopelekea kusimamishwa kwa Mheshimiwa Rage. Mkataba na AZAM  TV Rage alisaini mkataba na Azam TV kwa ajili ya kipindi ya cha Simba TV bila kuishirikisha kamati ya utendaji. Wakati...

Vichwa vya habari vya magazeti ya leo Alhamisi tarehe 21 November 2013

. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .                            Source;millardayo.co...

BABU SEYA KULIA AU KUCHEKA LEO?

MAHAKAMA ya Rufani leo inatarajia kutoa uamuzi wa ama kulikubali au kulikataa ombi la marejeo lililowasilishwa na mwanamuziki wa dansi nchini, Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na mwanae, Papi Kocha ‘Mtoto wa Mfalme’, ambao waliomba mahakama hiyo ifanyie marejeo hukumu ya kifungo cha maisha iliyoitoa Februari 2010, kwa kuwa ina dosari za kisheria na kuwaachia huru. Kwa mujibu wa hati ya wito wa mahakama iliyotolewa kwa mawakili wa pande zote mbili,...

Wednesday, October 2, 2013

Cheki Mwonekano mpya wa Agness Masogange baada ya kumaliza kesi yake Sauzi

Pichani juu ni taswira mbalimbali za muonekano mpya wa Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ ambaye kwa sasa yupo uraiani baada ya kufutiwa mashitaka yaliyokuwa yakimkabili ya kukamatwa na madawa ya kulevya aina ya crystal methamphetamine yenye thamani ya shilingi bilioni 6.8, Julai 5, mwaka huu kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Oliver Tambo jijini Johannesburg, Afrika Kusini...

Sunday, September 22, 2013

Al shabaab wajitapa na kudai wameua wakenya 100 jana...Twitter wafunga account yao..

Zaidi ya watu 39 wameuawa na wengine 150 kujeruhiwa baada ya watu wenye silaha kuliteka jengo lenye maduka la Westgate, jijini Nairobi, Kenya. Tukio hilo lilitokea jana mchana ambapo watu waliokuwa wakizungumza lugha ya kigeni, inayodhaniwa kati ya Kiarabu au Kisomali, kuvamia jengo la ghorofa na kushambulia watu kwa risasi. “Hawakuwa wakizungumza Kiswahili. Walikuwa wakizungumza...

PICHA ZA KUSIKITISHA KATIKA SHAMBULIO LA KENYA HAPO JANA..!! TAHADHARI BAADHI YA PICHA ZINATISHA.!

September 21, ni tarehe ambayo Kenya haitoisahau kamwe. Ni baada ya kundi la wanamgambo wa Al-Shabab lilipoishambulia mall ya Westgate maarufu kwa kuwa na wateja matajiri jijini Nairobi na kuwashikilia watu mateka, kuwaua na kuwajeruhi wengine. Mwanamke aliyekuwa amejeruhiwa akiomba msaada Familia ikiwa imeshikana mikono wakati ikitoka nje ya eneo la hatari Mashuhuda wanasema watu hao waliokuwa na silaha,...