
FAINALI za Kombe la Dunia
zitakazofanyika Brazil mwakani zipo kwenye hatari kubwa ya kukosa mvuto.
Ni kwa sababu kuna baadhi ya mechi matokeo yake yatapangwa na wacheza
kamari, imeelezwa.
Wiki iliyopita watu sita walitiwa
nguvuni kwa madai ya kushiriki kwenye kucheza kamari za kupanga matokeo
ya mechi za soka na mmoja wa watuhumiwa hao alifichua kwamba mipango
imeshawekwa tayari kwa ajili ya fainali zijazo za Kombe la Dunia na
kwamba...