Kampuni ya Apple ina kawaida ya kuitisha mikutano kila mwaka na kila mara wanapoitisha mikutano lazima watangaze kutoa device mpya au vifaa vipya.Apple ambao kwa sasahivi wanakimbiza soko na smartphones zao za iPhone 5 wameitisha mkutano tarehe 10 September 2013 na kwenye mitandao imezuka mijadala mbalimbali ya watu wakijaribu kudadisi aina gani ya simu mpya ambayo Apple wataitoa.Na hizi ni baadhi ya picha zilizovuja kutoka viwandani vya Apple...