Facebook
Facebook
You must log in first.
:forum-110833362/smallform/0:
Need a Facebook account?
Help Center
English (US) · বাংলা · हिन्दी · More…
Facebook ©2012

Tuesday, April 30, 2013

Top 10 ya watumiaji wa madawa ya kulevya wenye akili zaidi duniani


STEVE JOBS 
Imeripotiwa kwamba mwanzilishi wa Apple alitumia madawa kweny muhula wa kwanza kule Reed College in Portland, Oregon mwaka 1972. Tangu aach shule, Jobs amekuwa moja ya watu wenye mafanikio zaidi nchini America na dunia nzima kwa ujumla. Mwaka 1984,medali ya Taifa ya Technology nchini Marekani kutoka kwa rais wa kipindi hicho Ronald Reagan. Mwaka 2007, Fortune Magazine walimtaja kama mtu mwenye nguvu zaidi kwenye biashara na kisha mwaka 2011 gavana wa California Arnold Schwarzeneggerallimuweka kwenye California Hall of Fame.pia walimtaja kama CEO wa muongo (CEO of the decade) mwaka 2009 huku Forbeswakimuweka #57 kwenye list ya “World’s Most Powerful People” mwaka huo huo. 


Sir Richard Branson 
Huku ile ‘Sir’ikimuweka kwenye list ya watu wanaoheshimiwa zaidi, hiyo sio sababu ya yeye kuwa kwenye hii list. Kinachomfanywa awekwe ni kwa sababu yeye anashika namba 236 kwenye watu matajiri zaidi duniani, mwanzilishi wa Virgin empire, ambayo inashughulika na vitu vingi kuanzia ndege mpaka maduka ya rekodi tofauti, simu,na ametengeneza utajiri wake from scratch.Sio tu kwamba a, he gets high with his 21-year-old son. alishasema mbele ya umati kwamba haoni tatizo kuhusu kutumia marijuana,na amefanya mchakato kuhalalisha utumiaji wake,na pia amesema kama ikiruhusiwa, atauza. 

Michael Phelps 
Jamaa ana medali nyingi za Olympics kuliko mtu mwingine yoyote.. Tangu alipopata skendo ya kutumia madawa, Phelps alishiriki interviews nyingi na kusema kuwa kilichotokea ni “bad judgment,”na kuahidi kwamba kilichotokea hakitajirudia tena… hamna kitu kama hicho.. Phelps . It might be his last, but it definitely wasn’t his first. hii inamaanisha kwamba unaweza ukawa mwanamichezo namba 1 duniani lakini bado unavuta pia. 

Stereotype shattered. 

Francis Crick 
Alishinda tuzo ya Nobel kwa kugundua ul mpangilio wa “double-helix” kwenye DNA. Rumor has it that he was on acid at the time. . Akiwa kama muanzilishi wa Soma, kikundi halali cha cannabis, pia alifanyia uchunguzi marijuana, ambapo aliamini inasaidia kufanya mtu atoe mawazo akilini mwake. 

Barack Obama 
Karibia kila raisi wa Marekani kabla ya Barry , kuanzia Washington, Clinton mpaka Bush, historia yake imehusisha uvutaji wa marijuana. Clintonalijaribu kwa makusudi lakini akashindwa, Bush alikuwa super-mlevi,lakini alitumia madawa ya kulevya na marijuana mara moja moja, Washington alikuwa na shamba kabisa ya marijuana shambani kwake. But as far as we know, hakuna akiyewahi kukiri kama Obama. Ameandika kuhusu historia yake na kuvuta marijuana/madawa ikwenye kitabu chake Dreams of My Father, na mwaka 2007kwenye intrview alisema “When I was a kid I inhaled frequently. That was the point.” Yoyot yule anayejiuliza kuhusu mtumiaji wa Marijuana ana future gani, amuangalie vizuri Barack Obama.Sio tu unaweza kuwa na akili, unaweza kuwa hata rais. 


Michael Bloomberg 
Ameshawahi kutumia madawa alipokuwa mdogo?Kwa mdomo wake amekiri “You bet I did. And I enjoyed it!” 


Ted Turner 
Akiwa peke yake aliwezakuanzisha CNN, na mwaka 1991 Gazeti la Times lilimtaja kama Man of Th YearAnamiliki ardhi kubwa marekani na ana vituo vingine kadhaa nchini humo.Alilima marijuana bwenini kwak college. 


Richard Feynman 
Huyu ni mwanafizikia aliyesaidia kutengneza atomic bomb. Sikusema wote kwenye list hii wana busara. Feynman alitumia madawa akiwa anafanya tafiti mbali mbali akiwa maabara. Alipotoka,alishinda Nobel Prizekutokana na nadharia yake ya “quantum electrodynamics.” 



Sergey Brin 
Ana Bachelor of Science kutoka University of Maryland, Masters of Science kutoka Stanford na alichukua kozi za PhD Stanford kabla ya kuelekeza nguvu zake kuanzisha Google akiwa na Larry PageBaba yake ni profesa wa hesabu University of Maryland. Mama yake ni mtafiti wa Sayansi kwenye ofisi za NASA zilizopo Goddard Space Flight Center.Mke wake, Ann Wojcicki,ni biotech analyst aliye-graduate na Bachelor of Science in biology kutoka Yale University mwaka 1996. Kama Stve Jobs, ni mmoja wa watu matajiri zaidi duniani. 


Arnold Schwarzenegger 
Huyu ndio jamaa pekee kwenye hii list ambaye ameonekana kwenye video akivuta madawa. Schwarzenegger ameacha uvutaji tangu alipewa ofisi ya ugavana. According to Arnold, marijuana “is not a drug, it’s a leaf.” 

Top 10 richest countries in the world by GDP according to FOrbes magazine


Forbes magazine published an article recently on the richest 15 countries in the world and the surprise was that on top of this list is the Arab state of Qatar.
Qatar topped a list that classifies countries on the basis of per capita gross domestic product, where the annual per capita income in it exceeds 88 Thousand  Dollars, according to figures from the International Monetary Fund the world of 2010. Thanks to enormous economic revenues of oil and gas reserves, in comparison with the relatively low population (1.7 million inhabitants), as well as the diversity of investments carried out by the Qatari government from owning stakes in global financial institutions, universities and multinational companies, through the organization of major world events as the 2022 FIFA World Cup.
UAE also came in sixth place on the list with an average income of 47,439 dollars, whileKuwait dissolved down to the fifteenth spot with an average annual income of 38,775 dollars.
It should be noted that these figures do not mean what the person obtain as an annual salary in these countries, it means the amount of his share of the value of goods and services provided by the State in which the person lives if it was divided on the entire population.
Here is the countdown of the richest 10 countries in the world according to Forbes:
10- The Netherlands: 

Average income per capita: 40,973 dollars a year, located in western Europe, bordering the North Sea, with its capital Amsterdam and a population of 16 million people.
 9- Switzerland:

Average income per capita: 41,950 dollars a year, a federal republic located in Central Europe, with its capital Bern and a population of 7.7 million.
8- Hong Kong:

Average income per capita: 45,944 dollars a year, is one of the administrative regions of China, located in East Asia with a population of 7 million people.
 7- The United States:

Average income per capita: 46,860 dollars a year, a federal republic comprising fifty states and is located in North America, its capital isWashington DC and has a population of 313 million.
 6- United Arab Emirates:

Average income per capita: 47,439 dollars a year, is located east of the Arabian Peninsula in Southwest Asia, bordering the Persian Gulf, Abu Dhabi as its capital and a population of 8.2 million people.
 5- Brunei:

Average income per capita: 48,333 dollars a year, is located on the northern coast of the island of Borneo in Southeast Asia, its capital is  Bandar Seri Pkawan, and has a population of 388 thousand people.
 4- Norway:

Average income per capita: 51,959 dollars a year, located in northern Europe and occupies the western part of the Scandinavian Peninsula, its capital is Oslo and has a population of 4.9 million people.
 3- Singapore:

Average income per capita: 56,694 dollars a year, is located on an island in South East Asia, Singapore as its capital, the population is 4.9 million people.
 2- Luxembourg: 

Average income per capita: 81,466 dollars a year, is located in Western Europe between Germany, France, Belgium,with a population of 502 thousand people.
1- Qatar:

The TOp 20 poorest countries in the world


20 Poorest Countries In The World



What are the poorest countries in the world? The rankings below were published in Wikipedia from International Monetary Fund’s 2011 gross domestic product per capita (GDP per capita) report and reflecting the countries with the lowest purchasing power parity (PPP). Since 1970, there has been encouraging news emerging from developing countries. According to the UN’s 2010 Human Development Report, life expectancy in developing countries has increased from 59 years in 1970 to 70 years in 2010. School enrollment climbed from 55% to 70% of all primary and secondary school-age children. Also, in the last forty years, per capita GDP doubled to more than ten thousand U.S. dollars. Poor countries are catching up with the wealthier countries, but not all countries are making fast progress. For example, some countries in Sub-Sahara Africa have little or no progress, largely due to the HIV epidemic and civil wars.

The 20 Poorest Countries:

#1. Congo, Democratic Republic of the

GDP Per Capita: $348 (As of 2011)

Not to be mixed with the neighboring Republic of Congo, the Democratic Republic of the Congo has become the poorest country in the world as of 2010. Democratic Republic of the Congo was known as Zaire until 1997. Congo is the largest country in the world that has French as an official language – the population of D.R Congo is about six million larger than the population of France (71 million people in D.R Congo vs 65 million in France). The Second Congo War beginning in 1998 has devastated the country. The war that involves at least 7 foreign armies is the deadliest conflict in the world since World War II – by 2008 the Second Congo War and its aftermath had killed 5.4 million people.

#2. Liberia

GDP Per Capita: $456 (As of 2011)

Liberia is one of the few countries in Africa that have not been colonized by Europe. Instead, Liberia was founded and colonized by freed slaves from America. These slaves made up the elite of the country and they established a government that closely resembled that of the United States of America. In 1980 the president of Liberia was overthrown and a period of instability and civil war followed. After the killings of hundreds of thousands, a 2003 peace deal was led to democratic elections in 2005. Today, Liberia is recovering from the lingering effects of the civil war and related economic dislocation, with about 85% of the population lives below $1 a day.

#3. Zimbabwe

GDP Per Capita: $487 (As of 2011)

The government of Zimbabwe released its largest bank note 100 trillion dollar bill issued on January 2009. In addition to the economic problems the life expectancy of Zimbabwe is the lowest in the world – 37 years for men and just 34 for women. One of the problems for the early deaths are the 20.1% of the population with HIV and AIDS. The health issues aren’t seeing any improvement.

#4. Burundi

GDP Per Capita: $615 (As of 2011)

Burundi is known for its tribal and civil wars.  Burundi have never really had any peaceful time between the everlasting civil wars as a result its the fourth poorest country. Owing in part to its landlocked geography, poor legal system, lack of economic freedom, lack of access to education, and the proliferation of HIV and AIDS.  Approximately 80% of Burundians live in poverty and according to the World Food Programme 57% of children under 5 years suffer from chronic malnutrition; 93% of Burundi’s exports revenues come from selling coffee.

#5. Eritrea

GDP Per Capita: $735 (As of 2011)

Affected by the Italian colonizers of the 19th century.  Eritrea’s advantage of controlling the sea route through the Suez Canal made the italians to colonized it just a year after the opening of the canal in 1869 and same reason the British conquered it in 1941.  The present Eritrea’s economic conditions have not improved and real gross domestic product growth averaged 1.2 percent between 2005 and 2008; in 2009 GDP growth was estimated at 2.0 percent.

#6. Central African Republic

GDP Per Capita: $768 (As of 2011)

Despite its significant mineral resources; uranium reserves in Bakouma, crude oil, gold, diamonds, lumber, hydropower  and its arable land, it remains one of the poorest countries in the world.  Diamonds constitute the most important export of the Central Africans Republic, accounting for 40–55% of export revenues. The 2010 UNDP Human Development Report ranks CAR near the bottom of its Human Development Index (159th out of 162 countries) and unlikely to meet its MDG goals. The proportion of Central Africans living on $1 a day has decreased slightly to 62%  but it needs to be half of that in order to reach the 2015 goal.

#7. Niger

GDP Per Capita: $771 (As of 2011)

With over 80% of its land is covered by the giant desert of Sahara, Niger has a Gross Domestic Product (GDP) per capita in Parity Purchasing Power (PPP) terms of US$771 as of 2011, one of the lowest in Africa. Niger’s poverty is exacerbated by political instability, extreme vulnerability to exogenous shocks and inequality which affects girls, women and children disproportionately. In January 2000, Niger’s newly elected government inherited serious financial and economic problems including a virtually empty treasury and was qualified for enhanced debt relief under the International Monetary Fund program for Highly Indebted Poor Countries.

#8. Sierra Leone

GDP Per Capita: $849 (As of 2011)

A West African country with English as its official language, Sierra Leone has relied on mining, especially diamonds, for its economic base and home to the third largest natural harbour in the world where shipping from all over the globe berth at Freetown’s famous Queen Elizabeth II Quay.  It is among the top diamond producing nations in the world, and mineral exports remain the main foreign currency earner and also among the largest producers of titanium and bauxite, and a major producer of gold. Despite this natural wealth, 70% of its people live in poverty. If you have seen the movie Blood Diamond you should know that it is based on Sierra Leone.

#9. Malawi

GDP Per Capita: $860 (As of 2011)

Malawi has one of the lowest per capita incomes in the world, with 53% (2004) living under the poverty line. In December 2000, the IMF stopped aid disbursements due to corruption concerns, and many individual donors followed suit, resulting in an almost 80% drop in Malawi’s development budget. In 2006, Malawi was approved for relief under the Heavily Indebted Poor Countries (HIPC) program. In December 2007, the US granted Malawi eligibility status to receive financial support within the Millennium Challenge Corporation (MCC) initiative. Agriculture accounts for 35% of GDP, industry for 19% and services for the remaining 46%.  In addition, some setbacks have been experienced, and Malawi has lost some of its ability to pay for imports due to a general shortage of foreign exchange, as investment fell 23% in 2009.

#10. Togo

GDP Per Capita: $899 (As of 2011)

This small, sub-Saharan economy suffers from anemic economic growth and depends heavily on both commercial and subsistence agriculture, which provides employment for a significant share of the labor force. Cocoa, coffee, and cotton generate about 40% of export earnings with cotton being the most important cash crop. Togo is among the world’s largest producers of phosphate. Approximately one half of the population lives below the international poverty line of US$1.25 a day.

#11. Madagascar

GDP Per Capita: $934 (As of 2011)

Madagascar’s mainstay of growth are tourism, agriculture and the extractive industries. Approximately 69% of the population lives below the national poverty line threshold of one dollar per day. The agriculture sector constituted 29% of Malagasy GDP in 2011, while manufacturing formed 15% of GDP. Tourism dropped more than 50% in 2009 compared with the previous year, and many investors are wary of entering the uncertain investment environment.

#12. Afghanistan

GDP Per Capita: $956 (As of 2011)

Afghanistan is probably the only poorest country in the world that doesn’t need any introduction. Due to the decades of war and nearly complete lack of foreign investment, the nation’sGDP per capita stands at $956. Its unemployment rate is 35% and 42 % of the population live on less than $1 a day.  As tribal warfare and internecine feuding has been one of their chief occupations since time immemorial. History has never seen Afghanistan lose a war. They might be one of the poorest but they know how to fight. Instead of a traditional army they simply resist with small counter attacks that eventually tire out the enemy.

#13. Guinea

GDP Per Capita: $1,083 (As of 2011)

Guinea also has diamonds, gold, and other metals. The country has great potential for hydroelectric power. Bauxite and alumina are currently the only major exports. Guinea’s poorly developed infrastructure and rampant corruption continue to present obstacles to large-scale investment projects. Agriculture employs 80% of the nation’s labor force. Under French rule, and at the beginning of independence, Guinea was a major exporter of bananas, pineapples, coffee, peanuts, and palm oil. From independence until the presidential election of 2010, Guinea was governed by a number of autocratic rulers, which has contributed to making Guinea one of the poorest countries in the world.

#14. Mozambique
GDP Per Capita: $1,085 (As of 2011)

One of the poorest and most underdeveloped country in the world, 75% of the population engages in small-scale agriculture, which still suffers from inadequate infrastructure, commercial networks, and investment. The minimum legal salary is around US$60 per month.

#15. Ethiopia

GDP Per Capita: $ 1,093 (As of 2011)

Ethiopia suffers from poverty, and poor sanitation.  In the capital city of Addis Ababa, 55% of the population lives in slums. Despite its fast growth in recent years, GDP per capita is one of the lowest in the world, and the economy faces a number of serious structural problems. Ethiopia’s economy is based on agriculture, which accounts for 41% of GDP and 85% of total employment. Agricultural productivity remains low, the sector suffers from poor cultivation practices and frequent drought.

#16. Mali

GDP Per Capita: $1,128 (As of 2011)

With 50% of the population living below the international poverty line of US$1.25 a day, Mali is one of the poorest countries in the world.  Some of its natural resources are gold, uranium, livestock, and salt. Mali remains dependent on foreign aid. Economic activity is largely confined to the riverine area irrigated by the Niger River and about 65% of its land area is desert or semidesert. Mali experienced economic growth of about 5% per year between 1996-2010. The government in 2011 completed an IMF extended credit facility program that has helped the economy grow, diversify, and attract foreign investment.

#17. Guinea-Bissau

GDP Per Capita: $1,144 (As of 2011)

Guinea-Bissau’s legal economy depends mainly on farming and fishing, but trafficking in narcotics is probably the most lucrative trade. With 60% of the population living below the poverty line, drug traffickers based in Latin America use Guinea-Bissau, along with several neighboring West African nations, as a transshipment point to Europe for cocaine. The government and the military did almost nothing to stop this business.

#18. Comoros


GDP Per Capita: $ 1,232 (As of 2011)

Made up of three islands with rapidly increasing population, and few natural resources. As of 2008 about 50% of the population lives below the international poverty line of US$1.25 a day, due to numerous coups d’etat since independence in 1975.

#19. Haiti

GDP Per Capita: $1,235 (As of 2011)

Haiti is a free market economy that enjoys the advantages of low labor costs and tariff-free access to the US for many of its exports. Poverty, corruption, and poor access to education for much of the population are among Haiti’s most serious disadvantages. Haiti’s economy suffered a severe setback in January 2010 when a 7.0 magnitude earthquake destroyed much of its capital city, Port-au-Prince, and neighboring areas. Already the poorest country in the Western Hemisphere with 80% of the population living under the poverty line and 54% in abject poverty, the earthquake inflicted $7.8 billion in damages.  Seven out of ten Haitians live on less than US$2 a day, according to the International Red Cross.

#20. Uganda

GDP Per Capita: $1,317 (As of 2011)

Uganda is one of the poorest nations in the world, with 37.7 percent of the population living on less than $1.25 a day. Uganda has substantial natural resources, including fertile soils, regular rainfall, small deposits of copper, gold, and other minerals, and recently discovered oil. Despite making enormous progress in reducing the countrywide poverty incidence from 56 percent of the population in 1992 to 31 per cent in 2005, poverty remains deep-rooted in the country’s rural areas, which are home to more than 85 per cent of Ugandans.

[Source: Wikipedia/International Monetary Fund]


HAPPY BELATED BIRTHDAY CHIDY BENZ CHUMA!! CHEKI PARTY YA NGUVU ALIYOIPOROMSHA NDANI YA MAISHA CLUB V.I.P


Chidy akimlisha keki joketi
Hapa akimlisha keki moja kati ya mafuns wake katika siku yake zakuzaliwa
Totozzilikuwa zaukweli na zakumwaga
Makiss na ma hug yalihusika sana siku hiyooooo
Hii hapa keki ya king kong chidy beeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeenz
Hapa alikuwa anatangaza mwenyewe birthday yake na kuwalisha watru wake.
Hapa sasa wakati wa mikono mfululu dongo moja baada ya lengineeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Dj eddo master aliwakilisha kama kawa upande wa v,i.p

KFC yazindua tawi lake jijini DSM leo


 Pichani kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa KFC-Tanzania,Bwa.Simon Schaffer akizungumza na Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali (hawapo pichani),mapema leo jijini Dar,kuhusiana na uzinduzi wa tawi lao jijini Dar,Tanzania.Bwa.Simon alisema kuwa wazo la kufungua mgahawa huo nchini Tanzania,ni wazo ambalo limechukua muda wa miaka 3 kutimiza,amesema kuwa KFC itahakikisha viambata vinavyotumika kuandaa vyakula vinapatikana kutoka kwa wasambazaji waliokidhi vigezo vya viwango na ubora,aidha alibainisha kuwa Wafanyakazi wa mgahawa huo (ambao kwa asilimia kubwa ni Watanzania),walipata mafundisho ya miezi 6 kwa malengo ya kuboresha uwezo wao katika kuhudumia wateja kwenye sekta ya vyakula.

"Nasubiri sana kwa hamu kuona jinsi Watanzania watakavyo furahia chakula na huduma za KFC,huduma zetu zimeandaliwa kwa kuzingatia jinsi ya kuwapa wateja huduma kwa haraka na ubora,tunafurahia sana kwa kuanza kuhudumia soko la Tanzania na kuleta huduma tofauti na iliyo bora zaidi",alisema Bwa.Simon.KFC ina migahawa zaidi ya 17,000 duniani historia yake ikianzia huko Kentuky nchini Marekani.
Mmoja wa Wafanyakazi wa mgahawa wa KFC,Faraja Kilongole akifafanua  jambo mbele ya Wanahabari (hawapo pichani), namna walivyopata mafunzo jinsi ya kuwahudumia wateja kupitia mgahawa huo,ambao ndio mara ya kwanza kufunguliwa nchini Tanzania.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Mgahawa wa KFC,wakishangilia jambo mara baada kuzinduliwa rasmi na kuanza kuwa tayari kuanza kuwahudumia wateja mbalimbali watakaokuwa wakiwasili kwenye mgahawa huo.

Picha za Gari mpya ya WOLPER



Jacky Wolper a.k.a Wolper Gambe right about now yupo on road na ndinga yake mpya “Mini Cooper”. Interesting issue kuhusu gari hili ni kwamba, kwa nyuma chini ya plate number mwanadada katupia maandishi ya steel kabisa kama yametoka kiwandani na gari lenyewe..yanasomeka “WOLPER GAMBE” ambalo ni jina analotumia kwenye mitandao mingi ya kijamii. Upande wa pili mpekuzi wa bongomovietz alivyomuuliza Wolper how much zimemtoka kuvuta ndinga hiyo akasema siri yake..nikatafute kwenye internet. Basi sawa.mtandao wa mini.co.za ambao ndio dealers wa Mini Cooper kusini mwa jangwa la Sahara(Sub Sahara Mini official dealers) wameonyesha price ya R233,462 kwa Mini Cooper yenye same look na ya Wolper tukizingatia version ya gari husika..ambapo kwa pesa za madafu ni Tsh 42,012,236.If so Wolper, we gat to hack your bank account…tuvute iyo michuzi na sisi.






Monday, April 29, 2013

Ommy Dimpoz akipagawisha mashabiki wake nchini SWeden


photo(2)
Ommy Dimpoz ambaye ameongoza kwa kutajwa kwenye tuzo za Kili mwaka huu kwa nominations saba, yupo kwenye ziara ya barani Ulaya hadi May 20 mwaka huu.
photo(1)
Usiku wa kesho kuamkia May Mosi, Ommy atakuwa Oslo, Norway, ambapo atarudi tena kwenye jiji hilo May 10, tarehe 11 nchini Italia ikifuatia Gevena, Uswisi.
photo(4)
photo(5)

Justin Bieber na Selena warudiana


PICHA ALIYOPOOST TWITTER IKIWAONYESHA WAKIWA PAMOJA NA SELENA

Mastaa 10 wa bongo wenye ushawishi mkubwa Tanzania


Wakati mwingine si kitu rahisi kupima ushawishi lakini tutaangalia ni wazo mawazo gani ya mtu, mifano gani ya mtu, kipaji gani cha mtu na ugunduzi gani wa mtu uliobadilisha jambo katika nchi yetu. Hawa ndio mastaa 20 wa burudani, michezo na urembo Tanzania wenye ushawishi mkubwa zaidi
1. Wema Sepetu

Iwe picha akiwa kwa daktari aking’olewa jino, picha za mtindo mpya wa nywele, tattoo aliyojichora, picha za mbwa wake, Gucci na Vanny, picha zinamuonesha akiwa na shoga zake Kajala na wengine, kila kitu kuhusu Wema kinavutia attention ya watu. Story za Wema husomwa zaidi na kupata comments nyingi kuliko za wengine wote.
Kama leo hii Wema akisema aanzishe bidhaa yoyote inayowalenga vijana, haitachukua muda kushika na kutafutwa kama njugu. Wema ni show stopper! Kama akiingia ukumbini kwenye shughuli, shughuli hiyo husimama kwa muda kutokana na watu kugeuka kutaka kumwangalia kwa uzuri zaidi wakati akielekea sehemu ya kukaa. Kutoka kuwa Miss Tanzania na sasa akiwa muigizaji wa orodha A Tanzania, CEO wa kampuni ya filamu, Endless Fame Films, Wema Sepetu ni mwanamke mwenye ushawishi mkubwa. 
2. Diamond
Ni msanii gani Tanzania ambaye nyimbo zake zinahit mtaani bila hata kupigwa redioni? Bila shaka umeshasikia nyimbo nyingi za Diamond mtaani siku za hivi karibuni ukiwemo UKIMWONA na ukajiuliza iweje unahit wakati haujaachiwa rasmi? Muziki wa Diamond umekuwa ukitumika kama tulizo la wanyonge walio kwenye mahaba mazito. Kuanzia Mbagala, Nitarejea, Lala Salama, Mawazo ama Nataka Kulewa, zote zimekuwa zikitumiwa na watu wa rika mbalimbali, madaraja tofauti ya kiuchumi, wanawake kwa wanaume na watoto kama burudisho la roho zao. Diamond Platnumz hi hitmaker na haoneshi dalili za kupunguza kasi.
Diamond ndiye msanii anayefanya show nyingi zaidi ndani na nje ya Tanzania na kwa kulipwa gharama kubwa kuliko msanii mwingine yeyote muda huu. Hujaza kumbi kubwa za starehe yeye mwenyewe bila backup ya msanii mwingine na kuwaacha wasichana wakibubujikwa na machozi ya furaha na kutamani walau kukishika tu kifua chake kilichoanza kupasuka kwa mazoezi.
Kwa mujibu wa kampuni ya Push Mobile, Diamond ambaye jina lake halisi ni Nasib ndiye msanii anayeuza zaidi nyimbo zake kama miito ya simu (RBT).
Pamoja na kuzungukwa na scandal kibao kuhusu wanawake, Diamond ni kijana mwenye mawazo pevu na ya kiutuuzima. Akiwa ametoka kwenye familia duni na kupata misukosuko mingi ikiwemo kutengwa na baba yake na kulelewa zaidi na mama yake, Diamond amekuwa akitoa ushauri na kuwapa moyo watafutaji wa maisha wasikate tamaa. Hupenda kutoa ushauri kwa vijana wenzie kuhusiana na umuhimu wa kujituma, kuchapa kazi, kumuabudu mwenyezi Mungu na kutokata tamaa.
Katika kuhakikisha kuwa anaitolea pia jamii, hivi karibuni alitangaza kuwa na nia ya kujenga msikiti. Ni kwa sababu zipi kijana huyu asiwe na ushawishi?
3. Millard Ayo
Japo si kituo chake cha kwanza kuanza kazi, jina la Millard lilianza kufahamika nchini kupitia kipindi cha Milazo 101 cha Radio One. Sauti yake yenye mamlaka na ubunifu hewani, ulikifanya kipindi hicho kuwa maarufu kuliko vingine vya burudani katika radio hiyo inayomilikiwa na kampuni ya IPP.
Kuondoka kwake Radio One kulikuwa ni pigo kubwa lakini lenye neema kwa Clouds FM. Alihamia Clouds FM na kuanzisha kipindi kipya kiitwacho Amplifanya ambacho kilichukua nafasi ya kipindi cha nyimbo za kiafrika, Bambataa. Haikuchukua muda kipindi cha Amplifanya kikawa miongoni mwa vipindi bora kabisa Clouds FM.
Leo hii Millard ni miongoni mwa watangazaji bora Tanzania na wanaosikilizwa zaidi. Si maarufu tu redioni bali pia ndiye mtangazaji wa Tanzania mwenye mashabiki wengi zaidi kwenye mitandao ya kijamii. Ana zaidi ya followers 40,000 kwenye Twitter huku Facebook akiwa na likes zaidi ya 90,000.
Umaarufu wake kwenye mitandao ya kijamii umemfanya ageuke brand na kuyavutia makampuni makubwa kama CRDB Bank, Fast Jet na mengine kudhamini kile anachotweet. Tweets zake tu zinamuingizia fedha huku akimiliki pia website yake binafsi yenye wasomaji lukuki. Pamoja na kupata mafanikio hayo, Millard ameendelea kuwa mchapakazi, simple, mtu anayejituma kutafuta habari hata sehemu za mbali kabisa, mcheshi na mtu wa watu.
4. Nancy Sumari
Nancy Sumari ni msichana mrembo, mpole na mcheshi. Ndiye Miss Tanzania wa kwanza aliyewahi kufika mbali zaidi kwenye shindano la Miss World ambapo mwaka 2005 alifanikiwa kuwa Miss World Africa.
Kwa sasa Nancy ambaye ni mama wa mtoto mmoja wa kike, ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na anasoma Shahada ya Biashara. Pia ni mjasiriamali na anafanya kazi zake na jamii zikiwemo kuwahamasisha watoto wa kike kujitambua na kuthubutu, ili kutimiza ndoto zao.
Katika harakati zake za kuhakikisha wasichana wa Tanzania wanatambua haki zao, anaendesha programu iitwayo Mentorship, ambayo inazunguka kwenye shule mbalimbali za serikali za wasichana nchini, na kuzungumza nao kuhusu maisha. “Kwenye programu hiyo, tunabadilishana mawazo na wanafunzi na wao wanazungumza changamoto wanazokutana nazo na kupeana mawazo jinsi ya kufanya kwani nawaambia wakiamua kuthubutu wanaweza kufanikiwa, na wanaonesha wanaweza,”Nancy aliliambia gazeti la Habari Leo hivi karibuni.
Pamoja na hayo pia Nancy anashirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), kwenye kampeni ya kujenga mabweni ya wasichana kwenye shule za sekondari za serikali nchini, ili kuhakikisha watoto wa kike wanapata elimu.
Hivi karibuni alizindua kitabu chake kwaajili ya watoto ‘Nyota Yako’ kinachomlenga mtoto wa kike kuona jinsi wanawake wengine walivyofanikiwa licha ya kupitia changamoto mbalimbali.
“Ninaamini kitabu kitasomwa na wengi ndio maana nikaamua ujumbe wangu niufikishe kwa njia hii, watasoma watoto wetu hata wajukuu kitajenga kitu kwenye akili ya mtoto na wakisoma shuhuda za hao waliofanikiwa nao watathubutu” aliliambia Habari Leo. Tanzania itegemee mengi makubwa kutoka kwa mrembo huyu.
5. Ambwene Yesaya aka AY
Safari ya AY mpaka kuja kuwa nyota anayefahamika Afrika nzima na sehemu zingine duniani haikuwa rahisi. Amepitia mengi. Aliwahi kusema kuwa kabla ya kufahamika Afrika Mashariki, alikuwa akienda Kampala na Nairobi kufanya show za bure ili tu kukuza jina lake, jitihada ambazo zilizaa matunda.
AY ni msanii smart, mbunifu, risk taker na anayeijua biashara ya muziki.
Ni msanii wa Tanzania anayefanya video za ghali zaidi ambapo mpaka sasa video zake tatu, Speak With Your Body aliowashirikisha wamarekani Lamyia Good na Romeo, Partyzone na Money zilimgharimu zaidi ya dola 70,000 kwa pamoja kuzikamilisha. Video zake zimekuwa zikichezwa kwenye vituo vikubwa vya runinga duniani.
Mwaka jana alifanikiwa kuandika historia kwa kushinda tuzo za Channel O katika kipengele cha video bora ya mwaka ya Afrika Mashariki kwa wimbo wake I don’t Wanna Be Alone aliowashirikisha Sauti Sol wa Kenya. Umaarufu na busara zake ziliivutia kampuni ya simu ya Airtel mwaka jana na kumteua kuwa balozi wake. Kwa sasa ni mwenyekiti mtendaji wa kampuni ya burudani, Unity Entertainment, anajihusisha na biashara za nguo, mwanzilishi wa kipindi cha televisheni cha Mkasi na biashara zingine.
Akiwa na followers zaidi ya 40,000 kwenye Twitter, mwaka huu AY amekuwa msanii wa kwanza wa Tanzania kupata alama ya tick ya blue ya verification kwenye mtandao huo. Ni watu watano tu nchini wana alama hiyo.
6. Hasheem Thabeet
Hasheem Thabeet ni mtanzania wa kwanza kucheza kwenye ligi ya mpira wa kikapu wa kulipwa nchini Marekani, NBA. Akiwa na urefu wa 7 ft 3 Hasheem ndiye mchezaji mrefu zaidi kwenye ligi hiyo. Anacheza timu ya Oklahoma City Thunder kwa mshahara wa dola milioni 5.128 kwa mwaka.
Pamoja na kuwa Marekani muda mwingi, Hasheem hasahau ya nyumbani na hupenda sana kuongelea wasanii wa Bongo Flava kama alivyoandika.
“Mwaka 2000 mpaka mwaka 2005 Juma Nature alikuwemo katika kila nyimbo ambayo ilikuwa hit ndani ya bongo. kubali au kataa. #fact.”
Akitumia Twitter, Hasheem anajulikana kwa jinsi anavyopenda kuandika ujumbe wa matumaini. Hizi ni tweets 5 zenye ujumbe utiao matumaini alizoandika hivi karibuni.
No matter what u go thru in life there is no need of gettin angry with god and reflect bitterness to people around u. #havefaith.
The wise ones speak b’se they have something to say… fools speaks b’se they have to say somethin. thik before u speak. #liveandlearn.
Everything can change in a blink of an eye… but dont worry; god never blinks. #believe #havefaith
Life aint about how hard u can hit… it’s about how hard u can get hit and still move forward.
Envy is a waste of time… accept what you already have, not what u need. 
7. Flaviana Matata
Flavy ni mwanamitindo wa kimataifa aliyehamishia makazi yake nchini Marekani. Amefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika fani hiyo kwa kushiriki kwenye fashion show kubwa dunia, kufanya matangazo ya brand kubwa pamoja na kuhusishwa kwenye majarida ya kimataifa.
Hivi karibuni Matata alishiriki katika kampeni za matangazo makubwa ya makampuni ya nguo ya DIESELna EDUN.
Kampeni ya DIESEL + EDUN ilianzishwa mwaka jana mwezi wa kwanza ambapo muanzilishi wa kampuni ya DIESEL – Renzo Rosso – na waanzalishi wa kampuni ya EDUN – Ali Hewson na Bono walisafiri hadi nchi za Uganda na Mali na kukutana na wakulima wa pamba barani Africa.
Waliingia makubaliano ya kutengeneza nguo maalum zitakazotokana na pamba ya wakulima hawa wa Afrika na hivyo kuwanufaisha moja kwa moja. Hivyo basi nguo hizi zinatangazwa kama kampeni ili kunufaisha bara la Afrika.
Nguo hizo zitaanza kupatikana mwanzoni mwa mwezi wa tatu katika maduka mbalimbali nchini Marekani na duniani. Pia nguo za DIESEL + EDUN zitauzwa kupitia mitandao mbalimbali.
Flaviana ambaye aliwahi kuwa Miss Universe Tanzania 2007 anabaki kuwa mwanamitindo pekee kutoka bara la Africa katika kushiriki katika kampeni za nguo hizo.
Alianzisha taasisi ya Flaviana Matata Foundation inayohusika kuwasaidia wasichana kupata karo ya shule, sare na mahitaji mengine muhimu. Pia hutoa mafunzo na misaada kwa wanawake ili waanzishe miradi mbalimbali ili kujiongezea kipato.
8. Loveness Diva
Diva Love Loveness ni mtangazaji maarufu zaidi wa vipindi vya usiku. Ujasiri wake wa kuzungumza masuala ya mapenzi bila kificho umemtengenezea maisha ya pande mbili, kupendwa sana na kuchukukiwa sana. Ana mashabiki wengi.
Mara kadhaa kauli zake zimewahi kuleta mijadala mizito nchini lakini bado kipindi chake cha Ala za Roho cha Clouds FM kimeendelea kuwa kipindi chenye wasikilizaji wengi zaidi ukilinganisha na vipindi vingine vya aina hiyo katika vituo mbalimbali vya radio nchini.
Diva pia hujihusisha na shughuli za kusaidia wasiojiweza kupitia mradi wake wa Diva Giving for Charity. 
9. Masanja Mkandamizaji
Huenda watu wengi wanaweza wakawa hawafahamu kwamba Masanja ndiye staa wa Tanzania mwenye likes nyingi Facebook, 104,670 na zaidi. Masanja ni miongoni mwa wachekeshaji wa kizazi kipya wenye mashabiki wengi zaidi. Umaarufu wake umetokana na kipindi cha Ze Komedi kilichoanzisha EATV na sasa kikiwa TBC 1. Pamoja na kuwa mchekeshaji, Masanja ni muimbaji wa nyimbo za injili, mchungaji mtarajiwa na mambo mengine. Huzitumia akaunti zake za mitandao ya kijamii kuchekesha na kuwafurahisha zaidi followers wake na ni miongini mwa mastaa wanaopata comments nyingi zaidi kila wawekapo status.
10. Mwana FA
Hamis Corlone Mwinjuma aka Mwana FA ni rapper anayeaminika kuwa miongoni mwa waandishi bora wa mashairi ya Hip Hop kuwahi kutokea katika muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania.
Jina lake lilianza kuvuma mwaka 1998 alipotoa ngoma yake ‘Ingekuwa Vipi?’ akiwa na Jay Mo na pia ‘Mabinti’ ambayo ilitayarishwa na Bonny Luv.
Mwaka 2003, ngoma yake ‘Alikufa Kwa Ngoma’ – ilimpa tuzo kama wimbo bora wa Hip Hop wa mwaka kwenye Kili Music Awards. Mwana FA aliendeleza utemi kwa kuachia hits kibao kama Unanitega, ‘Hawajui’ feat. Lady Jaydee, Habari Ndio Hiyo akiwa AY, Bado Nipo Nipo, Unajijua Unanisikia, Yalaiti na ngoma ya hivi karibuni Ameen.
Mwaka huu anasubiriwa kwa hamu kuachia ngoma yake mpya iitwayo Kama Zamani aliyowashirikisha Njenje.
Pamoja na kufanya muziki, Mwana FA aliamua kwenda nchini Uingereza kuongeza shule yake ambako alisoma shahada ya Finance katika chuo kikuu cha Coventry.
Ana mipango pia ya kuendelea na masomo ya PhD siku za usoni. Kwa sasa ameanzisha pia kampuni ya kusimamia wasanii iitwayo Lifeline Music Inc ambayo tayari ina msanii mmoja aitwaye Maua Sama.
11. Salama Jabir
Salama ni mhasisi wa kipindi cha Planet Bongo cha EATV ambacho enzi anakifanya kilichangia ubora wa video za muziki wa Bongo Flava nchini kutokana na kasumba yake ya kuzikosoa bila woga. Baada ya kuondoka EATV na East Africa Radio, Salama alienda kusoma nchini Uingereza na kurudi kukaa nje kwa muda na mambo ya habari. Alikuja kurejea tena na kipindi cha Mkasi kinachorushwa EATV na kukifanya kuwa kipindi bora kabisa cha mahojiano nchini. Salama ni mcheshi, mtundu na anaufahamu mkubwa wa masuala ya burudani. Namna ya uulizaji wake wa maswali hufanya vipindi vyake kuwa na mvuto zaidi.
12. Fid Q
Fareed Kubanda si rapper anayeheshimika tu kama mwandishi mkali wa mashairi, bali pia anatambulika kwa kujihusisha kwake na shughuli za kijamii.
January mwaka huu, Taasisi ya Under The Same Sun inayojihusisha na kutetea haki ya watu wenye ulemavu wa ngozi, albino nchini, ilimtunuku ‘cheti cha shukrani’ kwa mchango wake katika kampeni ya shirika hilo.
Alipata cheti hicho baada ya mwaka jana kujumuika na taasisi hiyo katika ziara yao ya kanda ya ziwa akiwa kama muelimishaji kwenye vita dhidi ya mauaji ya ALBINO.
“Kujituma kwenye uchapaji kazi na utaratibu wa kuwa na nidhamu kazini ni moja kati ya vitu vilivyowafurahisha,” aliiambia Bongo5.
Pia mwaka jana Fid alikuwa akiendesha darasa la hip hop la hiari jijini Dar es Salaam.
Akielezea madhumuni yake, Fid alisema, “Kwa haraka haraka hip hop darasa maudhui yake ni kuwafundisha vijana wawe na positive thinking na attitude kwa jamii, yaani wawe na fikira zilizopo katika mstari ulio sahihi na hata kitabia, kwahiyo tunawajenga hivyo kupitia muziki wa hiphop.”
13. Lady Jaydee
Mpaka sasa Lady Jaydee ana albam tano na hivi mwezi ujao ataachia albam ya sita aliyoipa jina NOTHING BUT THE TRUTH. Ndiye msanii wa kike Tanzania anayeheshimika na mwenye mafanikio zaidi. Jaydee ni mjasiriamali ambaye hutumia pia kipato anachokipata kwenye biashara zake kusaidia watu wanaohitaji msaada hususan watoto yatima wanaolelewa kwenye vituo maalum.
Mwaka huu Lady Jaydee ambaye ana likes zaidi ya 47,000 Facebook na followers zaidi ya 22,000 Twitter, aliweka historia kwa kufanikisha safari ya kuupanda mlima Kilimanjaro na kuwa msanii wa kwanza wa kike nchini kufanya hivyo.
13. Jacob Stephen
Jacob maarufu kama JB, ni muigizaji ambaye wachambuzi wa filamu za Tanzania wanadai kuwa msanii pekee wa kiume anayeweza kufikia mafanikio ya marehemu Steven Kanumba. Ni muigizaji wa kiume anayependwa zaidi kwa sasa na filamu zake zimekuwa kivutio kwa watu wengi wa kila rika. Ana uzoefu wa zaidi ya miaka 14 kwenye sanaa ya uigizaji.
Kwa sasa anamiliki kampuni ya filamu iitwayo Jerusalem ambayo imesaidia kuwaibua wasanii wengine akiwemo Rose Ndauka, Elizabeth Kiyumba ’Nikita’ na wengine.Pamoja na kuwa muigizaji pia JB ni mhubiri wa masuala ya dini.
15. Jokate Mwegelo
Jokate ni mtangazaji wa TV (Channel 0), muigizaji wa filamu, mwanamuziki na mjasiriamali. Umaarufu wake ulianza aliposhiriki shidano la Miss Tanzania mwaka 2006 na kukamata nafasi ya pili na kupata ubalozi wa Redd’s na gazeti la The Citizen.
Jokate amewahi pia kushinda tuzo za ZIFF kama muigizaji bora wa kike. Pamoja na hivyo hujihusisha na muziki pia ambapo amewahi kushirikishwa na AY kwenye wimbo Kings and Queens na hivi karibuni amesikika kwenye wimbo wa Lucci, Water up.
Hivi karibuni alijiingiza kwenye biashara ya ubunifu wa mitindo kwa kuanzisha kampuni na brand ya Kidoti ambayo hubuni nguo pamoja na kutengeneza nywele za aina mbambali zinazopatikana nchini.
16. Vanessa Mdee
Vanessa ni mtangazaji mahiri wa MTV Base na Choice FM. Uwezo wake mkubwa wa kutangaza, maarifa kuhusu burudani na mambo mengine vimemfanya awe miongoni mwa watangazaji wa kike wakali zaidi barani Afrika na wenye mashabiki lukuki.
Vanessa amefanikiwa pia kwenye muziki ambapoi alimake headline sana aliposhirikishwa na Ommy Dimpoz kwenye Me and You iliyotoka mwishoni mwa mwaka jana. Sauti tamu kwenye chorus hiyo iliwashtua wengi kwakuwa alikuwa akijulikana kama mtangazaji tu.
January mwaka huu aliachia single yake ya kwanza Closer. Ngoma hiyo ilipokelewa vizuri na mashabiki wa muziki na miongoni mwa nyimbo zilizopata downloads nyingi zaidi mtandaoni. Na sasa ametajwa kuwania tuzo za Kili kama msanii bora anayechipukia huku wimbo Me and You alioshirikishwa na Ommy ukitajwa pia kwenye vipengele kibao. Ashafanikiwa kushare stage moja na wasanii wa kimataifa wakiwemo Mi Casa Music wa Afrika Kusini.
17. Rita Paulsen
Maadam Rita anafahamika zaidi Facebook kwa wafuasi wake zaidi ya 25,000 kama mwanamke mwenye ushauri muhimu kuhusu maisha. Ni mwanzilishi wa shindano kubwa la kusaka vipaji vya kuimba nchini, Bongo Star Search ambalo limefanikiwa kutoa vipaji vingi na kwa kuwazawadia washindi vitita vya pesa. Ni mcheshi, mrembo na ambaye siku zote hupenda kuwapa moyo hata wale ambao uwezo wao ni mdogo.
18. Profesa Jay
Profesa Jay ni miongoni mwa wasanii waliyoifanya Bongo Flava ipate mafanikio. Akiwa na albam nne mpaka sasa, Machozi Jasho na Damu 2001, Mapinduzi Halisi 2003, J.O.S.E.P.H 2006 na Aluta Continua 2007, Prof amewahi kushinda zaidi ya tuzo 6 mbalimbali zikiwemo za Kili. Mpaka sasa hits zake zikiwemo Bongo Dar es Salaam, Jina Langu, Zali la Mentali, Nikusaidije na zingine zinaendelea kutoa burudani isiyo na kifani katika masikio ya mashabiki wake. 
19. Dj Fetty
Fetty aka Fetilicious ni Dj pekee wa kike wa Tanzania aliyefanikiwa hadi mwaka jana kupata shavu la kwenda kupiga muziki kwenye jumba la Big Brother Africa. Ni msichana mrembo, anayejiamini na machachari hewani huku akiwa na fanbase ya nguvu. Ana likes zaidi ya 57,000 kwenye Facebook na followers zaidi ya 25,000 kwenye Twitter. Pamoja na kuwa mtangazaji wa kipindi pendwa cha XXL, Clouds FM, Fetty ni dj kwenye club ya Ambassodors Lounge jijini Dar.
20. Mzee Majuto
Kwa wengi King Majuto ni mchekeshaji bora zaidi nchini kuliko wachekeshaji wote. Ni comedian wa kuzaliwa ambaye sura yake tu huwavunja mbavu watu. Filamu zake zinauzika zaidi huku akiwa na mashabiki kibao katika nchi zingine za Afrika zinazozungumza Kiswahili. Umaarufu wake umemfanya apate deals za kufanya matangazo mbalimbali yakiwemo ya Airtel na Azam.
“Jina la King Majuto limeweza kuwa maarufu zaidi kwake, kutokana na kazi yake ya uigizaji katika filamu za vichekesho, mafanikio yake katika uigizaji yamefanya waigizaji chipukizi kutamani kumshirikisha msanii huyo mkongwe na wengine kujifunza kupitia kwake. Wapo wasanii chipukizi ambao wanatamani kufika kiwango alichofikia King Majuto, akitamba katika fani kwa zaidi ya miongo mitatu sasa bila kuchuja wala kutetereka